M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
In Sha Allah, ipigwe bao za kutosha na laana iwe juu ya timu huku viongozi wa serikali walioambatana na timu wapatwe na mabalaa mengi mchanganyiko.Ninafahamu fika Taifa stars lazima ifungwe hilo lipo wazi kipigo kipo palepale.
Ila maombi yangu afungwe goli nyingi zaidi , hamna hamna afungwe kuanzia goli 3 na kuendelea.
Asante.
Utapata shilongi ngapi kwenye huo mkeka wa kutafuta hela ya Christmas?Ninafahamu fika Taifa stars lazima ifungwe hilo lipo wazi kipigo kipo palepale.
Ila maombi yangu afungwe goli nyingi zaidi , hamna hamna afungwe kuanzia goli 3 na kuendelea.
Asante.
Ameeen.In Sha Allah, ipigwe bao za kutosha na laana iwe juu ya timu huku viongozi wa serikali walioambatana na timu wapatwe na mabalaa mengi mchanganyiko.
Samia Stars ziiiiiiii………..
AmeenYeyote anatejifungamanisha na wauaji na wadhulumaji haki, aandamwe na laana katika kila jambo.
Wauaji Stars isifanikiwe kwenda popote, na isijitambulishe kwa jina linaloiunganisha Tanganyika. Ikitaka ijiite Samuya Stars au KMKM Stars, ni sawa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ikibidi waanguke na dege
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kichapo kikawahusu Bibi chura fc