NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Kuanzia benchi la ufundi mpaka wachezaji ukitathimini kwa ubora walionao hakuna hata Timu moja ya Kariakoo wanaoweza kuwafikia kikosi Cha Azam Fc.
Naiona Azam ikileta ushindani wa hali ya juu na vigogo wa kariakoo wakicheza Kuna uwezekano mkubwa Azam Fc akachukua ubingwa.
Seriousness waliyonayo katika kusajili unaona kabisa wameamua, ni tofauti na mapacha wa kariakoo utani wanaoleta Mara wamenyang'anya wachezaji kiufupi ukichunguza ni Rubbish tupu na upuuzi ndani yake.
Azamu Fc hawana hadithi/ mbambamba katika kusajili wamekamilisha Mambo yao mapema kiufupi wanascouting nzuri kushinda wapiga kelele wa kariakoo.
Kwa nyanja hizo naiona Azam ikifanya makubwa na ninawatakia kila la heri kwao.