Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
Una miaka mingapi?Dola haziangushwi na maadui kutoka nje, historia inatufundisha kuwa Dola huuawa na vita zake za ndani kwanza hatimaye maadaui wanje humalizia kazi. Ndio maana waswahili husema mjenga nchi ni mwananchi, kadhalika mbomoa nchi ni mwananchi.
Chama kikubwa kama CHADEMA kilichopitia misukosuko mingi na kikastahimili, ni wazi kuwa hakiwezi kufa kwa propaganda, viongozi wake kuhamia CCM, viongozi wake kukamatwa, wala mikutano yao kuzuiwa. Haya yote yamefanyika sana lakini hayakufua dafu.
Lakini hii vita ya ndani, ya Lema na wanaharakati, Mange na Maria Sarungi, haitakiacha CHADEMA salama. Kinachoendelea sasa ni ile hadithi ya joka kukiviringa na kujikaza juu ya kisu kilichomkata akidhani atakinyonga na kulipiza kisasi hatimaye makali ya kisu yakamkata zaidi.
Tizama CHADEMA ilipofika sasa, Lema keshavishwa lebo ni msaliti, Mange na Maria Sarungi wameitwa waongo na wachonganishi, Heche kaambiwa hakutakiwa na Lissu awe makamu mwenyekiti, Mnyika kaambiwa ndiye anayeendelea kumfuga Mbowe kwenye magroup ya CHADEMA ya kamati kuu. Swali linabaki nini mwisho wa hii Kasheshe?
CCM wamejifunza ku-survive political plight za namna hii, ni wakati sasa CHADEMA waweke silaha chini wakajifunze CCM namna ya kushughulikia migogoro ya sampuli hii.
Wewe hujui kituDola haziangushwi na maadui kutoka nje, historia inatufundisha kuwa Dola huuawa na vita zake za ndani kwanza hatimaye maadaui wanje humalizia kazi. Ndio maana waswahili husema mjenga nchi ni mwananchi, kadhalika mbomoa nchi ni mwananchi.
Chama kikubwa kama CHADEMA kilichopitia misukosuko mingi na kikastahimili, ni wazi kuwa hakiwezi kufa kwa propaganda, viongozi wake kuhamia CCM, viongozi wake kukamatwa, wala mikutano yao kuzuiwa. Haya yote yamefanyika sana lakini hayakufua dafu.
Lakini hii vita ya ndani, ya Lema na wanaharakati, Mange na Maria Sarungi, haitakiacha CHADEMA salama. Kinachoendelea sasa ni ile hadithi ya joka kukiviringa na kujikaza juu ya kisu kilichomkata akidhani atakinyonga na kulipiza kisasi hatimaye makali ya kisu yakamkata zaidi.
Tizama CHADEMA ilipofika sasa, Lema keshavishwa lebo ni msaliti, Mange na Maria Sarungi wameitwa waongo na wachonganishi, Heche kaambiwa hakutakiwa na Lissu awe makamu mwenyekiti, Mnyika kaambiwa ndiye anayeendelea kumfuga Mbowe kwenye magroup ya CHADEMA ya kamati kuu. Swali linabaki nini mwisho wa hii Kasheshe?
CCM wamejifunza ku-survive political plight za namna hii, ni wakati sasa CHADEMA waweke silaha chini wakajifunze CCM namna ya kushughulikia migogoro ya sampuli hii.
CCM inahusikaje kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe ya CHADEMA?Target kubwa ya ccm ndio hii, kuuzima upinzani
Sie tena? Ugomvi wenu wenyewe, mchawi anatokaje CCM?Jiwe alishindwa kuisambaratisha itakuwa nyie?
Sawa, sie yetu macho. Tuko pale tanawatazama mtaichezaje ngoma yenu.Hata kipindi cha Zitto mlisema hivyo, hata Dr Slaa, hata Mbowe na wale madali wa chaumma mlisema hivyo. Sembuse dalali Lema?