Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
TAREHE 10 OKTOBA
Naiona mvua kubwa ikimwagika Uwanja wa Uhuru.
Naona watu kadhaa wakihaha kuondoa maji.
Naona mvutano mkubwa wa “tucheze au tusicheze” ukijirudia.
Naona wale wa “tusicheze” wakishinda, na uamuzi ukawa Derby ipangwe tena siku nyingine.
Naiona tarehe ya Derby ikiwa haigawanyiki kwa mbili bila baki. 👀
all d 👌