gonamwitu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,187
- 2,794
Naiona dalili ya match fixing mapema tu kwenye mechi ya Yanga kesho dhidi ya Pamba jiji na hii inachagizwa na kauli za kipuuzi za viongozi wa pamba kujifanya wanajiweka pembeni kwenye mechi ya kesho eti kisa wao ni mashabiki wa Yanga.
"KWA HERUFI KUBWA MIMI KAMA MDAU WA SOKA NAPINGA VITENDO HIVI KWA NGUVU".
"KWA HERUFI KUBWA MIMI KAMA MDAU WA SOKA NAPINGA VITENDO HIVI KWA NGUVU".