Naiona dalili ya Pamba kupanga matokeo dhidi ya Yanga kwa kumuachia yanga ashinde magoli mengi

Naiona dalili ya match fixing mapema tu kwenye mechi ya Yanga kesho dhidi ya Pamba jiji na hii inachagizwa na kauli za kipuuzi za viongozi wa pamba kujifanya wanajiweka pembeni kwenye mechi ya kesho eti kisa wao ni mashabiki wa Yanga.

"KWA HERUFI KUBWA MIMI KAMA MDAU WA SOKA NAPINGA VITENDO HIVI KWA NGUVU".
Yanga Bingwa.
 
Kwahiyo unataka mpendelewe ninyi tu,ungelalamikia kwanza penati ya Dodoma Jiji tungekuona wewe ni mzalendo,unatangaza amani Huku umeshika mapanga.
 
Sibahatishi mimi, pamba kawaachia mmeshinda goli 4 bila case closed.
 
Back
Top Bottom