Ni kweli wewe Yanga, wanawake ndio wenye tabia ya namna hiiMimi ni Yanga ila kwakua ninamapenzi na soccer itoshe kusema kesho tunaenda kushuhudia ubakwaji wa mpira wa Tanzania toka nchi hii iumbwe,
Nb:
Mdhamini mkuu wa yanga yangu GSM wa pamba ni GSM na jezi watakazo vaa team shindani ni hiiView attachment 3113604
Ondoa uadhamini wa GSM uweke wa kwako. Kwa vile GSM anaidhamini yanga, basi haruhusiwe kutangza biashara zake huko mwanza na sehemu nyingine mikoani kwa kupitia jezi. Ujinga kabisa huo.Mimi ni Yanga ila kwakua ninamapenzi na soccer itoshe kusema kesho tunaenda kushuhudia ubakwaji wa mpira wa Tanzania toka nchi hii iumbwe,
Nb:
Mdhamini mkuu wa yanga yangu GSM wa pamba ni GSM na jezi watakazo vaa team shindani ni hiiView attachment 3113604
Simba msimu uliopita alivyofungwa tano achunguzwe, huenda aliuza mechi.Naiona dalili ya match fixing mapema tu kwenye mechi ya Yanga kesho dhidi ya Pamba jiji na hii inachagizwa na kauli za kipuuzi za viongozi wa pamba kujifanya wanajiweka pembeni kwenye mechi ya kesho eti kisa wao ni mashabiki wa Yanga.
"KWA HERUFI KUBWA MIMI KAMA MDAU WA SOKA NAPINGA VITENDO HIVI KWA NGUVU".
Mimi shabiki wa Yanga ila GSM haishii kudhamini team tu anaenda mbali hadi kupanga matokeo kwa team anayo udhamini utayaami maneno yangu baada ya game ya leo kuishaOndoa uadhamini wa GSM uweke wa kwako. Kwa vile GSM anaidhamini yanga, basi haruhusiwe kutangza biashara zake huko mwanza na sehemu nyingine mikoani kwa kupitia jezi. Ujinga kabisa huo.
Naiona dalili ya match fixing mapema tu kwenye mechi ya Yanga kesho dhidi ya Pamba jiji na hii inachagizwa na kauli za kipuuzi za viongozi wa pamba kujifanya wanajiweka pembeni kwenye mechi ya kesho eti kisa wao ni mashabiki wa Yanga.
"KWA HERUFI KUBWA MIMI KAMA MDAU WA SOKA NAPINGA VITENDO HIVI KWA NGUVU".
Tangu mechi ya kwanza huwa mnaongea haya maneno, mechi ikishaisha mnarudi kusema timu imeshuka viwango.Naiona dalili ya match fixing mapema tu kwenye mechi ya Yanga kesho dhidi ya Pamba jiji na hii inachagizwa na kauli za kipuuzi za viongozi wa pamba kujifanya wanajiweka pembeni kwenye mechi ya kesho eti kisa wao ni mashabiki wa Yanga.
"KWA HERUFI KUBWA MIMI KAMA MDAU WA SOKA NAPINGA VITENDO HIVI KWA NGUVU".
Umekuwa sheikh yahya tokea lini? Timu yako ndio kinara wa kupanga matokeo kwa kuhonga marefa alafu unaleta upuuzi wako hapa!Naiona dalili ya match fixing mapema tu kwenye mechi ya Yanga kesho dhidi ya Pamba jiji na hii inachagizwa na kauli za kipuuzi za viongozi wa pamba kujifanya wanajiweka pembeni kwenye mechi ya kesho eti kisa wao ni mashabiki wa Yanga.
"KWA HERUFI KUBWA MIMI KAMA MDAU WA SOKA NAPINGA VITENDO HIVI KWA NGUVU".
Labda tuulizane mpka sasa Pamba kashinda mechi ngapi, karuhusu goli ngapi na kafunga goli ngapi ili mnapo bwabwaja muwe na factsMimi ni Yanga ila kwakua ninamapenzi na soccer itoshe kusema kesho tunaenda kushuhudia ubakwaji wa mpira wa Tanzania toka nchi hii iumbwe,
Nb:
Mdhamini mkuu wa yanga yangu GSM wa pamba ni GSM na jezi watakazo vaa team shindani ni hiiView attachment 3113604
Basi njooni nyie mcheze kwa niaba ya Pamba"KWA HERUFI KUBWA MIMI KAMA MDAU WA SOKA NAPINGA VITENDO HIVI KWA NGUVU".ππ¨