Naiona fursa ya kuuza magazeti ya vifungashio

Naiona fursa ya kuuza magazeti ya vifungashio

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,052
Reaction score
4,104
Baada ya mifuko ya plastic kufungiwa nimepita maeneo mbalimbali ya biashara naona watu wengi wanatumia magazeti kufungia bidhaa labda kutokana na bei kuwa cheap kulinganisha na mifuko mbadala
sasa mimi nilikuwa nauliza kwa hapo dar haya magazeti ya jumla nitapata kwa bei gani ili na mimi nije niuze huku mkoani kwa kufungua ofisi au kusambaza kwenye maduka ya bidhaa ya rejareja naona wanayahitaji sana kwa sasa
 
Ngoja niende Youtube nikacheki tutorial kissha nije na dizain yangu
 
ukweli ni kuwa wenye maduka bei ya mifuko mbadala imewashinda,ndo maana wanatumia magazeti,baada ya mwezi mmoja bei ya magazeti itakuwa nayo haishikiki,hii ni fursa
 
ukweli ni kuwa wenye maduka bei ya mifuko mbadala imewashinda,ndo maana wanatumia magazeti,baada ya mwezi mmoja bei ya magazeti itakuwa nayo haishikiki,hii ni fursa
mimi nayatafuta nipate kwa jumla magazeti mengi yanatoka nje hapa bongo hiyo biashara ya shigongo ilishakufa kabisa
 
Back
Top Bottom