Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Baada ya mifuko ya plastic kufungiwa nimepita maeneo mbalimbali ya biashara naona watu wengi wanatumia magazeti kufungia bidhaa labda kutokana na bei kuwa cheap kulinganisha na mifuko mbadala
sasa mimi nilikuwa nauliza kwa hapo dar haya magazeti ya jumla nitapata kwa bei gani ili na mimi nije niuze huku mkoani kwa kufungua ofisi au kusambaza kwenye maduka ya bidhaa ya rejareja naona wanayahitaji sana kwa sasa