Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
mimi nayatafuta nipate kwa jumla magazeti mengi yanatoka nje hapa bongo hiyo biashara ya shigongo ilishakufa kabisaukweli ni kuwa wenye maduka bei ya mifuko mbadala imewashinda,ndo maana wanatumia magazeti,baada ya mwezi mmoja bei ya magazeti itakuwa nayo haishikiki,hii ni fursa
mimi nayatafuta nipate kwa jumla magazeti mengi yanatoka nje hapa bongo hiyo biashara ya shigongo ilishakufa kabisa
Nimekucheki pm