Nadhani kuna ajali anaweza kuwa anatengenezewa kimakusudi na kwa ufundi sana na wasaidizi wake kwa kisingizio kuwa wanamlinda na wanalinda chama.... ila mioyoni mwao wamedhamilia kumkomoa/kumdhalilisha kwa kujua ndio atazidi kuchukiwa na kila rika mpaka kwa wasomi...ZUCHU ameshindwa kuongoza nchi
Una miaka mingapi Dogo? Unamfahamu Prof. Geofrey Mmari? Unamjua Dk. Masumbuko Lamwai, Dk. Mvungi, Prof. Lipumba na Dk. Azaveli Lwaitama kutaja wachache? Kama hujui nitakueleza siku Moja.Naiona hatari kubwa ya kuua elimu ya juu
Wanasiasa badilikeni, bado mapema.
Muongezee Prof. Issa Shivji na Generali UlimwenguUna miaka mingapi Dogo? Unamfahamu Prof. Geofrey Mmari? Unamjua Dk. Masumbuko Lamwai, Dk. Mvungi, Prof. Lipumba na Dk. Azaveli Lwaitama kutaja wachache? Kama hujui nitakueleza siku Moja.
Lakini vyuo bado vipo vinadunda tu!
Icho kizazi kipo sasa...? Nachozungumzia ni miaka ijayo...wanafunzi wa leo ndio wahadhiri na viongozi wa miaka ijayo ....kinachofundishwa leo ndio kitakuja rejea matokeo ya maisha ya miaka ijayoMuongezee Prof. Issa Shivji na Generali Ulimwengu
Je walimu/wahadhiri wa wataaluma hao katika ujana na taaluma zao nao walikuwa Machawa..!!!Una miaka mingapi Dogo? Unamfahamu Prof. Geofrey Mmari? Unamjua Dk. Masumbuko Lamwai, Dk. Mvungi, Prof. Lipumba na Dk. Azaveli Lwaitama kutaja wachache? Kama hujui nitakueleza siku Moja.
Lakini vyuo bado vipo vinadunda tu!
Mbona wewe hujatoa mifano ya Maprofesa na Madaktari waliokuwa critical enzi za Mwalimu Nyerere? Type hata wawili na critical thinkings zao zilikuwa na zipi. Nasubiri.Je walimu/wahadhiri wa wataaluma hao katika ujana na taaluma zao nao walikuwa Machawa..!!!
Nyerere hakuwa mjinga kuacha taaluma ya vyuo vikuu itimize wajibu wake wa kitaaluma kwa kukosoa/ kurekebisha na kutoa mifano mbalimbali ya uwajibika na usio uwajibaki wa serikali....huwezi kufundisha Tanzania alafu mifano utolee Burundi/congo na Rwanda ,huku ukiogopa kutolea mfano halisi wa Tanzania wanapoishi wanafunzi wako