Naiona historia ikipotea

Naiona historia ikipotea

Moh04

Member
Joined
May 24, 2015
Posts
12
Reaction score
19
Katika hali ya kawaida wengi tunategemea kupata taarifa (informations) za matukio yaliyotokea ndani ya nchi kwa wingi zaidi either social, economic au political lakini kwa hapa bongo ukisema ugoogle utakutana na taarifa chache tofauti na ukubwa wa tukio.

Kwa mfano ukijaribu kutafta historia ya Mapinduzi ya Zanzibar hutapata taarifa za kutosha kulingana na ukubwa wa tukio lenyewe.

Swali ni je, ni kwamba hizi taarifa waandishi wa mitandao au ni imani kwamba vitabu vinatosha?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom