johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahaaaa!!!co kwa Tz nayoijua miieNi Wazi kabisa 2025 Serikali ya Mseto inanukia na CCM imeanza mazoezi kwa kuteua Naibu Waziri mkuu ambaye hapigiwi kura na Wabunge.
Japo haipo kikatiba lakini uwezekano mkubwa ni Vyama vya Upinzani kutoa Wabunge wengi kuliko CCM na hivyo maamuzi ya nani awe Waziri mkuu yatakuwa mikononi mwao, hivyo CCM wataweka Naibu Waziri mkuu wa kuteuliwa Moja kwa Moja na Rais.
Hivyo CCM watacheza kama walivyocheza Zanzibar ambako Makamu wa kwanza wa Rais ametoka Upinzani lakini hana Nguvu za kumzidi Makamu wa pili wa Rais anayetoka CCM.
CCM huwa wanaona mbali sana.
Mungu wa mbinguni aubariki Nusu Mkate [emoji1]
Muda utaongea bwashee πHahaaaa!!!co kwa Tz nayoijua miie
Ngoja tuoneMuda utaongea bwashee [emoji1]
Sio kweli mkuu kama mgombea wao ni huyu huyu Mama,aaaah thubutu yake......ccm utakuwa ndio mwisho tuombe tu uzima!Mkuu ccm Wana mbinu 36 za kuiba uchaguzi, mpk leo wamemtumia mbinu 6 tu. Hebu fikiria wakizitumia hizo mbinu 30 mwaka 2025 upinzani utatoboa?
Ili kuifikia ndoto ulionayo katiba mpya na bora yapaswa kuandikwa.
Haya. Acha tusubiri tuoneSio kweli mkuu kama mgombea wao ni huyu huyu Mama,aaaah thubutu yake......ccm utakuwa ndio mwisho tuombe tu uzima!
Mkuu ccm Wana mbinu 36 za kuiba uchaguzi, mpk leo wamemtumia mbinu 6 tu. Hebu fikiria wakizitumia hizo mbinu 30 mwaka 2025 upinzani utatoboa?
Ili kuifikia ndoto ulionayo katiba mpya na bora yapaswa kuandi
Mbinu na 21. Ktk mbinu hii fataki hufyatuliwa ili kuwatawanya mawakala. Halafu kura feki zinawekwa kwenye masanduku.Uongo mtupu!! Mbinu gani tusizozijua! Za kuweka kura kwenye chupa za chai!? Labda mje na mbinu ya kuficha kura darini! Na hata hiyo hamtashinda Maana tutakuwa nanyi jino Kwa jino
Ndg hauijui CCM ya BARA kule ni ZANZIBAR huku ni BARA ,CCM haijawahi kugawana madaka na mtuNi Wazi kabisa 2025 Serikali ya Mseto inanukia na CCM imeanza mazoezi kwa kuteua Naibu Waziri mkuu ambaye hapigiwi kura na Wabunge.
Japo haipo kikatiba lakini uwezekano mkubwa ni Vyama vya Upinzani kutoa Wabunge wengi kuliko CCM na hivyo maamuzi ya nani awe Waziri mkuu yatakuwa mikononi mwao, hivyo CCM wataweka Naibu Waziri mkuu wa kuteuliwa Moja kwa Moja na Rais.
Hivyo CCM watacheza kama walivyocheza Zanzibar ambako Makamu wa kwanza wa Rais ametoka Upinzani lakini hana Nguvu za kumzidi Makamu wa pili wa Rais anayetoka CCM.
CCM huwa wanaona mbali sana.
Mungu wa mbinguni aubariki Nusu Mkate π
Kuchangia mada za namna hi za kujitoa akili maksudi ni taabu sana.Ni Wazi kabisa 2025 Serikali ya Mseto inanukia na CCM imeanza mazoezi kwa kuteua Naibu Waziri mkuu ambaye hapigiwi kura na Wabunge.
Japo haipo kikatiba lakini uwezekano mkubwa ni Vyama vya Upinzani kutoa Wabunge wengi kuliko CCM na hivyo maamuzi ya nani awe Waziri mkuu yatakuwa mikononi mwao, hivyo CCM wataweka Naibu Waziri mkuu wa kuteuliwa Moja kwa Moja na Rais.
Hivyo CCM watacheza kama walivyocheza Zanzibar ambako Makamu wa kwanza wa Rais ametoka Upinzani lakini hana Nguvu za kumzidi Makamu wa pili wa Rais anayetoka CCM.
CCM huwa wanaona mbali sana.
Mungu wa mbinguni aubariki Nusu Mkate π
Nafuu (kidogo) ya CCM, angalau kubaki kama chama cha siasa Tanzania ni mageuzi makubwa yafanyike humo humo ndani ya chama hicho tokea wakati huu na kuendelea hadi maandalizi ya uchaguzi.Sio kweli mkuu kama mgombea wao ni huyu huyu Mama,aaaah thubutu yake......ccm utakuwa ndio mwisho tuombe tu uzima!
NonsenseNi Wazi kabisa 2025 Serikali ya Mseto inanukia na CCM imeanza mazoezi kwa kuteua Naibu Waziri mkuu ambaye hapigiwi kura na Wabunge.