Naiona Mbeya city ikiwa kwenye wakati mgumu sana

Naiona Mbeya city ikiwa kwenye wakati mgumu sana

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Kesho wako na Yanga, mechi ifuatayo anakutana na Azam, kisha Namungo na baadae anatafuta pointi kwa Coastal.

Mpira hautabiriki ila ninamtabiria mabaya mechi nne (4) mfululizo.

Atapoteza mechi zote hizo.
 
Kesho wana Koma kumwanya Mbeya City nawaonea huruma sana. Wakipigwa chache basi saba au nane. Maana tayari game haijaanza Sarpong ana goli tatu, Sogne Moja na kisinda Mawili.... Yaliyobaki watamalizia Kalinyo na kaseke. Japo sitaki kuona Kaseke akicheza kesho.
 
Utashangaa sasa watakavyo kamia mechi kama wale ndugu zao wa Prisons! Wakicheza na ma-underdog wenzao, wanajilegeza mwanzo mwisho.
 
Hata prison mlimtabiria maneno hayohayo mechi kuisha tena wakiwa pungufu mkaanza kulalamika.
Yule kocha hakukosea mnabweka sana.
 
Back
Top Bottom