Naiona posho kiduchu mafunzo ya makarani wa Sensa 2022 (Tsh 10,000-20,000) kwa kisingizio cha Uzalendo, na si 60,000 kama wanavyotegemea wengi

Kiongozi mpunga upo wa maana but wameogopa wakitangaza mapema vikumbo vitkuwa vingi kwenye mchakato wa kuwapata hawa makarani watu na wasimamizi
Ukikuta zaidi ya elfu ishirini niite mbwa.
 
40k per day
We umejuaje Kama ni 40k per day?
Alafu si inasemekana mambo ya sensa ni Siri Sasa umejuaje hicho kiasi?
Ila wabongo jamani hata swala waambiwe ni Siri lakin lazima ulikute mitandaoni .
Haya mambo sio ya kukimbilia kuongea mitandaoni ni bahat iliyoje hapa jf hatujulikani Ila kitendo ulichofanya ni kosa kwa mujibu wa kanuni za sensa sura ya 351.
 
Makalani ×
Ajila×
Pale Stand ya Bus Masumbwe kuna jengo pameandikwa kabisa JENGO LA ABILIA !
Nyie Wasukuma kwenye Lugha ni Janga la Taifa!
 
kwaio umeamua kuthibitisha n 40k per day?
 
Yaan wee acha tu, wanatafuta kazi lkn ni wavivu wa akili.
 
Mkuu umekosea sana kudhibitisha...
 
Usikariri.Siri ni kulinda taarifa binafsi za MTU.Malipo ya KAZI ni Siri umeambiwa na Nani?
 
Huoni aibu na andiko lako hili
 

Attachments

  • IMG_5673.MOV
    14.2 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…