kwa sasa wamejifunza, sidhani kama watamchukulia poa mpinzani yeyoteShida kubwa ya wachezaji wa Simba ni dharau na kurelax kama sio dharau hata msimu uliopita CAFCL wangefika nusu na hata final pia.
Hata mechi na Jwaneng pia kurelax kuliwaponza.
mungu ni mwema tuiunge mkono team yetu.Ngoja tuone
Unajua Kama Tp Mazembe, Orlando Pirates Rs Berkane Wapo Pia Au Unaongea Ongea Tu Kwakuwa Juzi Mmewafunga Vilema
Ungesema unatamani kuiona simba inavuka robo fainal, vinginevyo kama ukimwuliza shaaiki yeyote wa simba kuhusu hatua anayodhan simba itafika, atakuambia simba wanachukua ubingwa africa.Wakuu salaam,
Simba chini ya Pablo imekua na mabadiliko ya haraka sana, ukiwatizama wachezaji unaona kabisa ile nguvu, ari na uchu wa kuipambania team vimerejea kwa kishindo...
Nyie mliwafunga vipofu?Unajua Kama Tp Mazembe, Orlando Pirates Rs Berkane Wapo Pia Au Unaongea Ongea Tu Kwakuwa Juzi Mmewafunga Vilema
mbona Tp nimewataja kwenye bandiko, hizo team nyingine ni za kawaida.Unajua Kama Tp Mazembe, Orlando Pirates Rs Berkane Wapo Pia Au Unaongea Ongea Tu Kwakuwa Juzi Mmewafunga Vilema