Naiona Simba SC ikifungwa na Coastal Union

Kwa hiyo tumekubalina ile kauli mbiu yetu ya Ubaya Ubwege ndio imekufa rasmi baada ya kipigo kutoka kwa Wananchi?
 
Kama coastal iliweza kupata goli mbili kwenye mechi na Azam basi kesho tusishangae kuona Simba ikifungwa tena na wana mangushi.

Wazee wa mikeka muuweni Simba, muuweni Azam mtakuja kunishukuru kesho.
Unaona mbali sana chifu

Vipi umecheki hali yako ya kimaisha 5 years to come?
 
Reactions: BRN

Ukiwa na parameters na variables zote muhimu unashindwaje kujuwa kitu kama iki ?
 
Kama coastal iliweza kupata goli mbili kwenye mechi na Azam basi kesho tusishangae kuona Simba ikifungwa tena na wana mangushi.

Wazee wa mikeka muuweni Simba, muuweni Azam mtakuja kunishukuru kesho.
Coastal Hana timu ya kujifunga Simba.
 
Reactions: BRN
Upo sahihi na ile mechi dhidi ya Azam kipa aliyepangwa hayupo sharp na kachangia kikubwa kufungwa kwa Coastal sijui Matampi yuko wapi.
Matampi nadhani ana mgogoro na viongozi masuala ya mikataba yule Kipa ni WA umisseta piga popote waya
 
Matampi akiwepo sawa ila kama hatakuwepo coastal ni wepesi Kipa sio tu hawezi kudaka ila pia kupanga beki zake ni mtihani tangu mechi za kagame Cecafa alikuwa hivyo
 
Kama coastal iliweza kupata goli mbili kwenye mechi na Azam basi kesho tusishangae kuona Simba ikifungwa tena na wana mangushi.

Wazee wa mikeka muuweni Simba, muuweni Azam mtakuja kunishukuru kesho.
Ilo ni suala ambalo lipo wazi kwa mtu yoyote anaejua mpira.
 
Ukiwa kolo lazima unakuwa mbumbumbu sijui kwanini..,yaani mechi ya 3 mfululuzo unashonwa alafu unaleta ngojera hapa.

Karudie ile mechi ya juzi alafu uje useme goli ngapi mlipigwa/ingizwa na nyny mlifunga ngapi.
Mi nimechambua technically bila upendeleo wa upande wowote unaanza kunituhumu
 
Ukiwa kolo lazima unakuwa mbumbumbu sijui kwanini..,yaani mechi ya 3 mfululuzo unashonwa alafu unaleta ngojera hapa.

Karudie ile mechi ya juzi alafu uje useme goli ngapi mlipigwa/ingizwa na nyny mlifunga ngapi.
Ile mechi imeisha walioshinda wanelala uwanjani hoi
 
Ndio dizaini ya mtu anayebakwa kisha unasema kanibaka kwa mbinde sana. Kubakwa ni kubakwa tu iwe kwa mbinde au kiuwepesi. Sasa kama mbakaji atalala hoi, je huyo mbakwaji sipati picha atakuwa hoi kiasi gani
 
Basi tufanye mbakaji naye alipigwa ndole za kutosha wakati anabaka mpaka akawa hoi utafikiri na yeye alibakwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…