Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Kwa hiyo tumekubalina ile kauli mbiu yetu ya Ubaya Ubwege ndio imekufa rasmi baada ya kipigo kutoka kwa Wananchi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaona mbali sana chifuKama coastal iliweza kupata goli mbili kwenye mechi na Azam basi kesho tusishangae kuona Simba ikifungwa tena na wana mangushi.
Wazee wa mikeka muuweni Simba, muuweni Azam mtakuja kunishukuru kesho.
Tupe majibu Acha perepeteUkiwa na parameters na variables zote muhimu unashindwaje kujuwa kitu kama iki ?
Coastal Hana timu ya kujifunga Simba.Kama coastal iliweza kupata goli mbili kwenye mechi na Azam basi kesho tusishangae kuona Simba ikifungwa tena na wana mangushi.
Wazee wa mikeka muuweni Simba, muuweni Azam mtakuja kunishukuru kesho.
Ganja inahusika vp na comment yake??Kwanini unavuta bangi asubuhi!?
Matampi nadhani ana mgogoro na viongozi masuala ya mikataba yule Kipa ni WA umisseta piga popote wayaUpo sahihi na ile mechi dhidi ya Azam kipa aliyepangwa hayupo sharp na kachangia kikubwa kufungwa kwa Coastal sijui Matampi yuko wapi.
Matampi akiwepo sawa ila kama hatakuwepo coastal ni wepesi Kipa sio tu hawezi kudaka ila pia kupanga beki zake ni mtihani tangu mechi za kagame Cecafa alikuwa hivyoKama unadhani coastal ya msimu huu ni nyepesi basi subiri kesho nakuhakikishia utabaki mdomo wazi.
Tulio angalia mechi ya costal na azam ni kwamba azam licha ya uwekezaji mkubwa waliperekeshwa vibaya mno
Beki za azam zilikuwa kama za mtibwa sugar
Kilichoiponza costal kipa wao rey matampi hakuwepo yule kipa wa sasa akawa anafungwa magoli mepesi ila azam cha moto walikiona
Pia kocha wa costal ni kocha haswa jamaa anausoma mchezo na kubadiri upepo kwa kasi
Azam wqlianza kwa kasi jamaa akawasoma fasta akawabadirishia mbinu mpira ukawa wa moto vibaya mno
Ilo ni suala ambalo lipo wazi kwa mtu yoyote anaejua mpira.Kama coastal iliweza kupata goli mbili kwenye mechi na Azam basi kesho tusishangae kuona Simba ikifungwa tena na wana mangushi.
Wazee wa mikeka muuweni Simba, muuweni Azam mtakuja kunishukuru kesho.
Kwa hiyo Ley Matampi amerudi leo?Kilichoiponza costal kipa wao rey matampi hakuwepo yule kipa wa sasa akawa anafungwa magoli mepesi ila azam cha moto walikiona
Mi nimechambua technically bila upendeleo wa upande wowote unaanza kunituhumuUkiwa kolo lazima unakuwa mbumbumbu sijui kwanini..,yaani mechi ya 3 mfululuzo unashonwa alafu unaleta ngojera hapa.
Karudie ile mechi ya juzi alafu uje useme goli ngapi mlipigwa/ingizwa na nyny mlifunga ngapi.
Ile mechi imeisha walioshinda wanelala uwanjani hoiUkiwa kolo lazima unakuwa mbumbumbu sijui kwanini..,yaani mechi ya 3 mfululuzo unashonwa alafu unaleta ngojera hapa.
Karudie ile mechi ya juzi alafu uje useme goli ngapi mlipigwa/ingizwa na nyny mlifunga ngapi.
Ndio dizaini ya mtu anayebakwa kisha unasema kanibaka kwa mbinde sana. Kubakwa ni kubakwa tu iwe kwa mbinde au kiuwepesi. Sasa kama mbakaji atalala hoi, je huyo mbakwaji sipati picha atakuwa hoi kiasi ganiIle mechi imeisha walioshinda wanelala uwanjani hoi
Basi tufanye mbakaji naye alipigwa ndole za kutosha wakati anabaka mpaka akawa hoi utafikiri na yeye alibakwa.Ndio dizaini ya mtu anayebakwa kisha unasema kanibaka kwa mbinde sana. Kubakwa ni kubakwa tu iwe kwa mbinde au kiuwepesi. Sasa kama mbakaji atalala hoi, je huyo mbakwaji sipati picha atakuwa hoi kiasi gani