Naiona Tanzania iliyopoteza muelekeo. Kama ni bichwa la treni limepoteza uelekeo

Mimi nadhani tuache kutishana na maisha yaendelee.
Zanzibar wanaongozwa kwa staili hii muda mrefu tu, vipi hayo uliyoyatabiri ndio wanayoyaishi?!?
Maandiko matakatifu yanasema...We were not created with spirit of fear.. Kwanini mnaumia watu wakiwa huru na “fear”!
 
So help us God🤲🙏!
 
"Leo nimesoma mtandaoni, Dar es salaam kuna watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu,naomba nitoe meseji wasijaribu kina cha maji, IGP upo hapa, mitandaoni wanamtaja Afande mmoja alikomesha ujambazi, wanasema 'Mama turudishie',IGP kaliangalie hilo vizuri" -- Rais Samia Suluhu wakati akizungumza na wazee Dar es salaam.

Swali; Tangu aliyekuwa Rais wa JMT John Magufuli kufariki mbona haya matukio yanarudi kwa kasi?

Mbona madawa ya kulevya mitaani yanarudi kwa kasi sana na siku za karibuni kuna mzigo mkubwa ulikuwa unaingizwa nchini?

Maoni ya wadau
[emoji117] Sio IGP bali aliyekuwa nyuma ya IGP alikuwa ni Moto usiosogeleka! Tunashukuru kuwa mmeanza kuona tofauti ndani ya kipindi hiki kifupi.Jiwe was real hard mpaka majambazi walipiga saluti.

[emoji117]Haki nobody like JPM. Alikuwa one man show.Nguvu kubwa isiyoonekana nyuma yake ilinyamazisha kelele na fujo za kila mtu na kila kitu.Alitamka na kila mwenye akili timamu alimwelewa waovu walitulia,Hadi mapepo ya Corona na ujambazi yalitii.Sasa vyote vinarudi kwa kasi ya 5G.Mungu baba ahsante kwa maisha ya Magufuli kabla yake tulikuomba kwa pamoja utupe rais wa aina yake ukatupa,ukatuonjesha tu atufungue macho na tuone tofauti ya uongozi na uongozi.Umemhitaji ukamchukua.Wewe ni Mungu.Ushukuriwe milele.

Je,Unadhani kwanini imekuwa mapema mno utofauti wa juhudi za hayati JPM na uongozi uliopo kuonekana miongoni mwa watanzania?
 
Na hakuna nchi ambayo mnaweza kwenda ukimbizini! Afadhali kina Lema, nyie mtavumilia mateso hapa hapa, chungeni roho zenu tu, msije mkawai mbele ya haki!
 
So help us God by sending to us another JPM🙏! Or good still, re-incernate the spirit of JPM through mom Samie, please God, we pray by Your Holy Names, Amen 🙏!
 
"Hadi mapepo ya Corona na ujambazi yalitii.."????
Siyo mapepo ya Corona yalimaliza uhai wake? Yalitii?
 
Kuna tofauti kati ya matukio ya uhalifu kuongezeka na matukio ya uhalifu kuripotiwa.

Kinachoendelea sasa kwa sehemu kubwa ni matukio ya uhalifu kuzidi kuripotiwa, maana uhuru na fursa ya kufanya hivyo imerejeshwa.

Kwa mfano, tukio la watu zaidi ya 40 kufariki wakati wa kuaga maiti ya Magufuli halikuwahi kutolewa taarifa rasmi na serikali (idadi hiyo na majina yote kutolewa hadharani) japokuwa ni kweli lilitokea na watu binafsi waliliripoti hadharani.
 
Sasa hayupo au Gwajima atamrudisha akalie kiti? kila kiongozi ana style yake, wacha mama achape kazi.
 
Empty mind
 
Nendeni mkafufue mzoga wa kule chattle uje uziie ujambazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…