Naiona timu ya Taifa ya Ukraine inacheza mechi hapa, imekuwaje? Urusi si walisema wameigeuza Ukraine magofu?

Naona wanacheza na Wales mechi kali kabisa.

Taarifa kwamba ndani ya siku tatu wanaiteka zimefikia wapi?

Na zile kwamba nchi imekuwa magofu nazo niaje?
Hiyo mechi knachezwa ktk nchi gani?
 
Kwa akili yako unafikiri kuna nchi inaweza kutuma timu yake ikacheze pale ukraine???....... ligi yao yenyewe imeshavurugika...
Mlituambia mnaichukua Ukraine kwa siku tatu. Nashangaa bado hamjaichukua hadi wanapata muda kujiandaa na michezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…