Naiona Yanga ikifuzu makundi

Hivi hii hoja ya kununua mechi inatokaga wapi?

Tuweni wakweli Yanga hana Hela ya kununua mechi kwa Al hilal
 
Hv kama yanga atatoka droo ya kuanzia goli mbili mfano
2-2. 3-3 4-4 vp hapo atakuwa amefuzu???
 
Mimi siyo shabiki wa Yanga, lakini Yanga asipofuzu najitoa JF mwezi mzima wa octoba.
Mechi inachezwa tarehe 16 ulitakiwa useme utakuwa offline kwa wiki mbili

Mi nadhani hapo kati kati katika ratiba zako kuna michakato itayokufanya uwe mbali na JF so swala la Yanga ni sababu tu
 
Kwamba matokeo yatakuwa yanasubiri yatoe favour kwa Yanga kwasababu ya kuepusha conflicts za viongozi?

Mashabiki wanaodhani viongozi wamepelekea Yanga kupata matokeo haya watakuwa ni mashabiki wajinga

Kwa hoyo kwasababu wao ni unbeaten walitaka wawe hivyo hivyo kila siku na kwamba siku ikitokea wamepoteza basi moja kwa moja sababu iwe ni viongozi?

Akili za namna gani hizi?

Mayele anakosa mabao, kakosa magoli ya wazi si chini ya mawili

Uongozi unahusika vipi na swala hilo?

Na Mayele swala la kukosa magoli sio jambo geni, maana mechi tatu za mwisho alizocheza alikuwa anakosa magoli.

Na wapo mashabiki ambao walikuwa wanavimba kuwa "hicho ni kipindi cha kwanza na huo ndio mfumo wake ila kipindi cha pili lazima atupie"

Lakini leo sasa wameanza kuona umuhimu wa zile nafasi alizokuwa anakosa kwasbabu wanasema huwezi kujua thamani ya kitu mpaka pale utapokipoteza

Thamani ya zile nafasi alizokuwa anakosa kwenye mechi na Zalan zilikuwa covered na ushindi hazikuweza kujadiliwa kuwa ni mistakes na pengine hao hao mashabiki wangemsikia mtu anazungumzia jambo hilo wangemuita hater.
 
Mkuu amkaa....usjie ukachelewa shuleni.
Halafu ukiamka ufue mashuka na kuanika godoro maana saivi unaota ndoto nyevu
 
GSM kwa yule tajiri wa mafuta wa AL HILAL ni kijakazi tu, sasa sijui mtachomokaje mkiingiza ligi ya pesa.
 
Kwa iyo yanga wana ela ya kununua game kuliko al hilal


Unajua mmiliki wa pyramids ndio mmiliki wa al hilal
Hivi hawa wanaichukuliaje HILAL? GSM hana pesa hata robo ya linazomiliki tajiri la HILAL.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…