Naipataje Bajaj yangu iliyoibiwa

Naipataje Bajaj yangu iliyoibiwa

Kuna mtu nlimpa Bajaj ya mzigo kwa mkataba na amekimbia nayo hajulikani alipo, nikipiga simu hapokei na muda mwingne haipatikani kabisa. Ntaweze kumpata mtu huyu,?
Mzamini wake ni mama yake mzazi, je mnanishauri nichukue hatua gani ili niweze kuipata bajaj yangu..?
Kama anapatikana hewani nenda katoe ripot wamtrack ataonekana yupo wapi
 
Huyo lazma n wale madogo wanapambania ku buy jeans na mademu na simu kali...kama anapatkana hewan n rahs muno kumpata n ww tuu ...
 
Ivi wewe bata unajua hata chochote kuhusu upelelezi?Unajua ukitoka nyumbani ukapotea nani ataulizwa wa kwanza kama sio rafiki wako wa karibu?Unajua rafiki wa mwizi ni mwizi?? Unajua kwenye upelelezi wanabanwa marafiki kabla ya mhusika? Ficha ujinga wako sawa?
Kenge kweli,umejiona unajua
 
Kuna mtu nlimpa Bajaj ya mzigo kwa mkataba na amekimbia nayo hajulikani alipo, nikipiga simu hapokei na muda mwingne haipatikani kabisa. Ntaweze kumpata mtu huyu?

Mzamini wake ni mama yake mzazi, je mnanishauri nichukue hatua gani ili niweze kuipata bajaj yangu?
hata usihangaike kuanza kumtrack jamaa wakati mama yake yupo na ndo mdhamini wake na bila shaka wanawasiliana hao...weka ndani mdhamini af we kaa palee utaona dogo anakuja mbio na bajaji
 
Aisee pole sana ungefunga GPS mkuu tuko enzi za kidigitali...Enewei pakuanzia hakikisha unampata mshikaji wake wa karibu kabisaaa huyo ukimbana vizuri kwa pesa au kibano atakueleza A-Z ndivyo wanaintelijensia hufanya.
Wala sio dawa ! Hawa wanaofunga hzio module wanauza siri kwa wezi kwa hiyo mwiI akiiba bajaji cha kwanza anaitoa hiyo module ,unakuwa huwezi track tena bajaji yako.
 
Back
Top Bottom