hali hio yako pia ninayo mim kwa upande wangu hapa Mtaa wa ufipa tumekuwa makundi makund.
Na bado.....!!
Safari hii CCM na gufuli lao lazima wakae chini!
Huijui ccm wewe,malima,Prof Assad,mgimwa??wako wapi???immatureNdiyo kwa sababu sisi hatuna unafiki na sio bendera. Tukiona kuna kosa ndani ya chama tunakosoa na kushauri, hatufumbii macho kama nyie. Nyie uozo wowote unaofanywa na viongozi wenu mnavimeza na kuvitetea. Not with me
Huijui ccm wewe,malima,Prof Assad,mgimwa??wako wapi???immature
1. Kwa mara ya kwanza campaigne ya Urais na Wabunge haina muelekeo. Magufuli umefeli sana na kukiharibu chama kwa kuwashirikisha vijana/ watu wasio na ujuzi wa namna kampeni
3. Magufuli dhambi inayokusubiri ni chama kufia mikononi mwako, na dola kuwapa chadema, wanaichukua bila taabu yoyote, kwani mumekiweka chama kiholela.
4. Mmetumia pesa nyingi sana za chama, kuwarubuni na kuwanunua wapinzani, ambao hawana la kutuongezea, na ununuzi wao umeleta mfarakano ndani ya chama.
Magufuli kushinda atashinda, ninashotaka ni kushinda kwa kishindo, that's why we are a bit disapointed. There is no issue winning the election.
Zito yupo,maalim yupo,mrema yupo.wangwe alifariki.nitajie hao niliokupa Apo juu.wako wapi???KILA SIASA NA KILA CHAMA KINA CASUALITY ZAKE, HATA CHADEMA, WAKO WAPI AKINA CHACHA WANGWE, ZITTO, CUF- MAALIM SEIF, NCCR - MREMA, NK.....,
Humu tu kwa mitandao Lissu lazima atashinda, Mziki uko kwenye box la Kura hatoaamini kua Watanzania ubabe wao ni kwenye keyboard tu hawana hata jeuri ya kwenda kupanga foleni ya kupiga Kura!! Muulizeni Mange Kimambi na maandamano yake, support aliyoipata Mtandaoni ilikua kubwa kuliko waliojitokeza barabarani!!Usihangaike na maiti, acha wafu wazikane.
28/10/2020 piga kura yako kwa Lissu na huu ndio uzalendo kwa nchi yako
Mheshimiwa umenikumbusha haka kawimbomwanana! jamani hakuna aliyenako atuwekee! tukumbukie enzi "Gone are the days...."Mtoto acha kupiga mayowe, acha waje waone wenyewe.
Mbona unaharibu utaratibu wenu wa Chama? Ushauri unatakiwa utolewe kupitia vikao halali vya Chama. Tofauti na hivyo ni umbeya.I have not apologized nor will I, Ihave strategically presented my case, will see it as you have, but those few smart ones in your echelon will understand.
Kwa hiyo unataka kutuambia kua kuna Raisi na Mgombea Uraisi!? Mgombea Uraisi anataka kushindana na Raisi!?Raisi yupo kazini, yeye anafanya kampeni na pia bado ni raisi wa nchi, na ana majukumu ya kitaifa, sio mtu asiye na kazi na mwenye kungojea akubaliwe maombi yake ya ukimbizi
Magufuli hana pressureKwanza tuambie Jiwe yuko wapi na anafanya nn huko aliko?
Kusudio gani bhan hizo risasi za miguu lazima upone,Lissu hata ICU hajawai ingia akiwa hajitambui! Kuna watu wametoka ICU kweli na akikupa story yake utatamni ulie!! Ndiyo maana unaona kuna watu kibao Wana vilema vya Miguu au Mikono na wanaishi vizuri tu!!Ni hivi ukijua kweli nayo kweli itakuweka huru twende na Lissu atuvushe kwenye hili ombwe hata malaika wa Mbinguni watafurahi kama Mungu amememponya na kumweka hai mpaka leo na kama Mungu amekuponya na gonjwa la kutisha la Corona na kukuweka hai mpaka leo je wewe ni nani ukose kumpa lissu kura yako na kumrudishia Mungu Utukufu!?
Amini nakwambia lipo kusudi la Mungu juu ya maisha yako mimi na wewe la kutokufa mpaka kusudi la Mungu litimie mpe kura yako Lissu kuweka historia iliyotukuka ya leo na ya vizazi vijavyo.
Sent from my BLL-L22 using JamiiForums mobile app
Full airtime wanawapa ccm imesaidia nini. Kila wakati wamekuwa live miaka mitano. Watu tumewasikiliza hadi tukasema too much of evrrything is harmful.Ninakipenda sana chama changu cha CCM, lakini sifurahishwi na yanatoendelea:
1. Kwa mara ya kwanza campaigne ya Urais na Wabunge haina muelekeo. Magufuli umefeli sana na kukiharibu chama kwa kuwashirikisha vijana/ watu wasio na ujuzi wa namna kampeni zinavyoendeshwa.
2. Magufuli chukua hatua za haraka sana kubadilisha kampeni team yako.
3. Magufuli dhambi inayokusubiri ni chama kufia mikononi mwako, na dola kuwapa chadema, wanaichukua bila taabu yoyote, kwani mumekiweka chama kiholela.
4. Mmetumia pesa nyingi sana za chama, kuwarubuni na kuwanunua wapinzani, ambao hawana la kutuongezea, na ununuzi wao umeleta mfarakano ndani ya chama.
Mheshimiwa Rais, chukua ushauri, na rekebisha team yako, akina Polepole , Bashiru na wenzao wamefeli.
Yaani hapa unakiri kuwa kampeni yake haina muelekeo[emoji116][emoji116]
Kisha hapa unakiri kuwa chama kinamfia na Chadema wanachukua Dola bila tabu[emoji116][emoji116]
Huyu huyu Meko unaendelea kupigia mstari aliratibu biashara ya wapinzani kuunga juhudi ambayo ime backfire[emoji116][emoji116]
Kisha Meko huyo huyo atashinda bila shida[emoji116][emoji116]
Unaonesha kuchanganyikiwa kwa kiwango cha juu sana Mkuu, tulieni kampeni hazijafika hata nusu mmechukua 'likizo' mara mbili na bado mnapwaya.
Lissu ongeza Spana 'wameshalegea'.
Hili kwa Sasa haliwezekani,Raisi ni Mwinyi na ana CV nzuri kuliko ya Maalimu!!UKWELI NI KUWA BARA TUTASHINDA URAISI NA UWINGI WA WABUNGE, VISIWANI NI PAGUMU KIDOGO, TUTEGEMEE SEREKALI YA MSETO