Uchaguzi 2020 Naipenda CCM, Sipendi yanayojiri

Ninakipenda sana chama changu cha CCM, lakini sifurahishwi na yanatoendelea:

1. Kwa mara ya kwanza campaigne ya Urais na Wabunge haina muelekeo. Magufuli umefeli sana na kukiharibu chama kwa kuwashirikisha vijana/ watu wasio na ujuzi wa namna kampeni zinavyoendeshwa.

2. Magufuli chukua hatua za haraka sana kubadilisha kampeni team yako.

3. Magufuli dhambi inayokusubiri ni chama kufia mikononi mwako, na dola kuwapa chadema, wanaichukua bila taabu yoyote, kwani mumekiweka chama kiholela.

4. Mmetumia pesa nyingi sana za chama, kuwarubuni na kuwanunua wapinzani, ambao hawana la kutuongezea, na ununuzi wao umeleta mfarakano ndani ya chama.

Mheshimiwa Rais, chukua ushauri, na rekebisha team yako, akina Polepole , Bashiru na wenzao wamefeli.
Halafu mfano wa kutumia tochi na betri zake pasipokuweka gunzi sio mzuri kutumia Kwa sababu wenzetu tochi lao hata ukiweka gunzi tochi yao itawaka Kwa vile wananchi ndio watakaoamua maendeleo yao siyo vyama Kwa utaratibu wao wa majimbo.
 
Hapa ni Tabora ! Unasema CCM imepoteza muelekeo unaakili kweli wewe! View attachment 1580145
Chama kiende kwenye kampeni bila kuzoa watu kwa malori na kutumia wasanii ka upinzani uliozuiwa five year's without political activities then kwenye kampeni zao wanajaza watu bila wasanii na nguvu za Dola huoni kuwa ccm ijitafakari matendo yake
 
Yaani hapa unakiri kuwa kampeni yake haina muelekeo[emoji116][emoji116]

Kisha hapa unakiri kuwa chama kinamfia na Chadema wanachukua Dola bila tabu[emoji116][emoji116]

Huyu huyu Meko unaendelea kupigia mstari aliratibu biashara ya wapinzani kuunga juhudi ambayo ime backfire[emoji116][emoji116]

Kisha Meko huyo huyo atashinda bila shida[emoji116][emoji116]

Unaonesha kuchanganyikiwa kwa kiwango cha juu sana Mkuu, tulieni kampeni hazijafika hata nusu mmechukua 'likizo' mara mbili na bado mnapwaya.

Lissu ongeza Spana 'wameshalegea'.
Umempa makavu huyu nzi wa kijani sidhani kama atarudi tena 😂😂😂
 
UKWELI NI KUWA BARA TUTASHINDA URAISI NA UWINGI WA WABUNGE, VISIWANI NI PAGUMU KIDOGO, TUTEGEMEE SEREKALI YA MSETO
Wewe kwa kiasi kikubwa ni mkweli, nasema kwa kiasi kikubwa siyo 100%. Ulifaa uwe kwenye nafasi za juu za chama chako kuweza kufikisha ushauri kwa viongozi wa chama chako, hasa katika kampeni hizi hadi kipindi cha utangazaji wa matokeo.
 
Thanks for the compliment!![emoji116][emoji116]
NDUGU, KWANZA NIPENDEZWA SANA KWA NAMNA ULIVYOPANGA POINT ZAKO, VERY PROFESSIONALLY AND IMPRESSIVE.

Sina hakika kama ni mimi namiss point ama ni wewe, ila hata sisi tusiounga mkono CCM tulikosoa na kushauri mapema kuhusu mwenendo kisiasa wa Magufuli kama rais na pia kama mwenyekiti wa chama.

Kwa kuwa tunatambua kukiwa na siasa chafu kama kununuana, kuminya demokrasia, kuhodhi madaraka ya mihimili mingine, kubaguana, chuki na kubambikana kesi kwa hila nk nk tunaoumia ni sote haijalishi itikadi yako.
[emoji116][emoji116]
WHAT U R MISSING NI KUWA SIO KUCHANGANYIKIWA, KATIKA KUFANYA SELF ANALYSIS MTU UNAWEZA ONA MAPUNGUFU KATIKA JUHUDI ZAKO, NA UKAHITAJIKA KUREKEBISHA.

Kwa Rais ambaye anatetea kiti chake hakutakiwa kuwa na sintofahamu kubwa kama uliyoeleza. Hali hiyo inadhihirisha kuwa kipindi chake cha miaka mitano ni almost a FAILURE.

Kwa muda huu uliobakia unahisi kuna la maana analo weza kurekebisha hasa ukizingatia tabia yake ya kiburi na kutosikiliza ushauri?[emoji116][emoji116]
UNAPOKUA INSIDER, UNAWEZA FANYA MAREKEBISHO BILA KUWA A PUBLIC ISHU, LAKINI KAMA SI MTU WA JIKONI, INAKUBIDI UTUMIE NJIA RAHISI YA KUWAFIKIA WAHUSIKA.

Sasa MTU ambaye haheshimu hata kura za wanachama wake, wamechagua wagombea yeye anawakata na kuweka majina yake tena wengine aliowanunua toka upinzani. Kisha wanachama wanawakataa anasema hadharani msipo wachagua sitaleta maendeleo kama ambavyo sijapeleka sehemu fulani.

Mtu wa namna hii kuna haja ya kumpa ushauri licha tu ya kwamba ataupuuza? Ushauri wangu kwako, huyu jamaa hafai chukua hatua mkuu usitarajie miujiza hapo.
 
Kwakweli timu ya kampeni inayoongozana na Magufuli haina weledi wa kutosha wa kichama. Polepole na Bashiru hawana makuzi kupitia CCM. Kwenye kampeni hii, unamwachaje Nape, Mwigulu, Lusinde, Bulembo, Mwanri n.k
 
Humu tu kwa mitandao Lissu lazima atashinda, Mziki uko kwenye box la Kura hatoaamini kua Watanzania ubabe wao ni kwenye keyboard tu hawana hata jeuri ya kwenda kupanga foleni ya kupiga Kura!! Muulizeni Mange Kimambi na maandamano yake, support aliyoipata Mtandaoni ilikua kubwa kuliko waliojitokeza barabarani!!
Usikariri
 
POLENI, WE KNOW THAT PEOPLE HAWAKO NA FURAHA NA BAADHI YA VIONGOZI, UCHAGUZI HUU HAKUNA CHAMA KISICHOKUWA NA KASORO.

CHADEMA WANASHIDA YA KUONENANA WIVU, LISSU AMEKUWA NA MVUTO MKUBWA NA KUHATARISHA AUTHORITY YA MWENYE KITI NA GENGE LAKE. KUNA MENGI YAMEJITIKEZA, NA HAYAFAI MIMI KUYASEMA LAKINI YATAJITOKESA BAADA YA 3RD OCTOBER.

ACT; WAMEANZA NA UNAFIKI NA KUCHEZEANA, HAKUNA UELEWANO KATI YA VIONGOZI. INAKUWAJE KIONGOZI UNAUNGA MKONO MGOMBEA MWENGINE NA HALI CHAMA CHAKO KINA MGOMBEA. HYPOCRIT
Tunahitaji Hoja kama hizi ! Ni hoja zenye mashiko ! Umepangilia maneno yako vizuri Sana ! Hoja yako ina mashiko . Endelea kutuelimisha Ndugu yangu . MUNGU akubariki Sana !
 
Ninakipenda sana chama changu cha CCM, lakini sifurahishwi na yanatoendelea:

1. Kwa mara ya kwanza campaigne ya Urais na Wabunge haina muelekeo. Magufuli umefeli sana na kukiharibu chama kwa kuwashirikisha vijana/ watu wasio na ujuzi wa namna kampeni zinavyoendeshwa.

2. Magufuli chukua hatua za haraka sana kubadilisha kampeni team yako.

3. Magufuli dhambi inayokusubiri ni chama kufia mikononi mwako, na dola kuwapa chadema, wanaichukua bila taabu yoyote, kwani mumekiweka chama kiholela.

4. Mmetumia pesa nyingi sana za chama, kuwarubuni na kuwanunua wapinzani, ambao hawana la kutuongezea, na ununuzi wao umeleta mfarakano ndani ya chama.

Mheshimiwa Rais, chukua ushauri, na rekebisha team yako, akina Polepole , Bashiru na wenzao wamefeli.
Tangu lini jiwe likasikia?
 
Magufuli kushinda atashinda, ninashotaka ni kushinda kwa kishindo, that's why we are a bit disapointed. There is no issue winning the election.
Kama mnajua atashinda basi mwache alumzike tu home
 
Baba! Kwa hii English naanza kupata mashaka, lazma wewe utakuwa ni jiwe mwenyewe. Niliskia jiwe yupo huku pia, nahisi hii ndo ID yake.
I have not apologized nor will I, Ihave strategically presented my case, will see it as you have, but those few smart ones in your echelon will understand.
 
Wewe siyo CCM usijitoe ufahamu. Kampeini za CCM ziko vizuri tu wewe unajifanya kumpigia kampeini mgombea wa EU kawadanganye wajinga, wenye kujitambua tumekujua ulikolalia na sisi ndiko tulikoamkia !
Ninakipenda sana chama changu cha CCM, lakini sifurahishwi na yanatoendelea:

1. Kwa mara ya kwanza campaigne ya Urais na Wabunge haina muelekeo. Magufuli umefeli sana na kukiharibu chama kwa kuwashirikisha vijana/ watu wasio na ujuzi wa namna kampeni zinavyoendeshwa.

2. Magufuli chukua hatua za haraka sana kubadilisha kampeni team yako.

3. Magufuli dhambi inayokusubiri ni chama kufia mikononi mwako, na dola kuwapa chadema, wanaichukua bila taabu yoyote, kwani mumekiweka chama kiholela.

4. Mmetumia pesa nyingi sana za chama, kuwarubuni na kuwanunua wapinzani, ambao hawana la kutuongezea, na ununuzi wao umeleta mfarakano ndani ya chama.

Mheshimiwa Rais, chukua ushauri, na rekebisha team yako, akina Polepole , Bashiru na wenzao wamefeli.
 
Wewe na nani ? Una kura ngapi za kupiga siku ya uchaguzi ? Kweli JF imevamiwa.
Hii Nchi inaongozwa kama familia, how comes unafokea mwajiri wako (wananchi) badala ya kufokea watendaji ambao umepewa uwasimamie?

Hii ni jeuri, kiburi na dharau kubwa kwa wananchi.

we will show you this time kuwa tunajielewa.
 
Ninakipenda sana chama changu cha CCM, lakini sifurahishwi na yanatoendelea:

1. Kwa mara ya kwanza campaigne ya Urais na Wabunge haina muelekeo. Magufuli umefeli sana na kukiharibu chama kwa kuwashirikisha vijana/ watu wasio na ujuzi wa namna kampeni zinavyoendeshwa.

2. Magufuli chukua hatua za haraka sana kubadilisha kampeni team yako.

3. Magufuli dhambi inayokusubiri ni chama kufia mikononi mwako, na dola kuwapa chadema, wanaichukua bila taabu yoyote, kwani mumekiweka chama kiholela.

4. Mmetumia pesa nyingi sana za chama, kuwarubuni na kuwanunua wapinzani, ambao hawana la kutuongezea, na ununuzi wao umeleta mfarakano ndani ya chama.

Mheshimiwa Rais, chukua ushauri, na rekebisha team yako, akina Polepole , Bashiru na wenzao wamefeli.
Wewe unatumika na "mabeberu"😀😀
 
um

Umeona ee
 
Mwenye kiti wako mwenyewe hana busara,we unadhani wa chini yale watakuwaj
 
Raisi yupo kazini, yeye anafanya kampeni na pia bado ni raisi wa nchi, na ana majukumu ya kitaifa, sio mtu asiye na kazi na mwenye kungojea akubaliwe maombi yake ya ukimbizi
Anataka kukimbia wapi kwani?
 
Back
Top Bottom