Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Duuuh...hongera mkuuNsha Guru Buti Yangu Tayari Kwa Kazi Kesho
Shukran Afande WanguDuuuh...hongera mkuu
Mi sio afande mkuu ..bali ni raia mkakamavuShukran Afande Wangu
Hahahaha! Ukakamavu umeutoa wapiMi sio afande mkuu ..bali ni raia mkakamavu
chadema ...wote tulioko kule ni raia wakakamavuHahahaha! Ukakamavu umeutoa wapi
Hahahahaaaaaaa ...Kuna jamaa jiran anasema izi ni mbwembwe za kuruti chapa vumbi
Sawa ShemejiMi sio afande mkuu ..bali ni raia mkakamavu
Unaongea nin WeeeViatu vya kung'aa ng'aa ivo, hujanivalisha hata siku moja!
Shemej tena ?Sawa Shemeji
Unaongea nin WeeeViatu vya kung'aa ng'aa ivo, hujanivalisha hata siku moja!
Hahahaaaa ...umevisotea mkuuUnaongea nin Weee
Kama Hujui Kitu Kaaaaa Kimya
Unahisi Hii Ni Supra Kutoka Kwa Husein Pamba Kali
Nyang'au wee Nimevipigania iv
sijanunua Buku saba saba Karume
Walinipiga Na Kunichakaza NdioHahahaaaa ...umevisotea mkuu
Kazi ya jeshi lazima ugangamale ...ni sawa na huku tuliko chadema lazima uwe raia mkakamavu , la sivyo lazima ujiunge na team magufuri ili kujisalimisha...hahahaaaaaa kujiita mpinzani nchi za kiafrica yataka moyo wa kizalendo kama askari wa JWTZWalinipiga Na Kunichakaza Ndio
Kuna Siku Nusu Nikojoe Damu Kutokana na Mazoez Waliokuwa wakitufanyia
[emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Vimeng'aa kama umevipaka mafuta ya nazi
Mkuu anaipenda kazi yake , la sivyo huwezi kuhimili vishindo...wengine tumeipitia hiyo shuruba na sasa tuko upande wa raia wakakamavu ...hahahaaaaVimeng'aa kama umevipaka mafuta ya nazi
Umevisotea eeh? Uligawa tigo?Unaongea nin Weee
Kama Hujui Kitu Kaaaaa Kimya
Unahisi Hii Ni Supra Kutoka Kwa Husein Pamba Kali
Nyang'au wee Nimevipigania iv
sijanunua Buku saba saba Karume