Naipenda Kazi Yangu

Naipenda Kazi Yangu

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
Nsha Guru Buti Yangu Tayari Kwa Kazi Kesho

7f9938e6ee3384303320aa201783449a.jpg
 
Viatu vya kung'aa ng'aa ivo, hujanivalisha hata siku moja!
Unaongea nin Weee

Kama Hujui Kitu Kaaaaa Kimya

Unahisi Hii Ni Supra Kutoka Kwa Husein Pamba Kali

Nyang'au wee Nimevipigania iv

sijanunua Buku saba saba Karume
 
Walinipiga Na Kunichakaza Ndio

Kuna Siku Nusu Nikojoe Damu Kutokana na Mazoez Waliokuwa wakitufanyia
Kazi ya jeshi lazima ugangamale ...ni sawa na huku tuliko chadema lazima uwe raia mkakamavu , la sivyo lazima ujiunge na team magufuri ili kujisalimisha...hahahaaaaaa kujiita mpinzani nchi za kiafrica yataka moyo wa kizalendo kama askari wa JWTZ
 
Back
Top Bottom