Naipenda sana Taifa Stars lakini...

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,286
Reaction score
6,736
Ni lazima nihakikishe naangalia mechi nikiwa na Diclofenac, Asprin au Diclopa pembeni
Pia kwa wale wenye Presha siwashauri kuangalia mechi hii. Nina matumaini makubwa na
Timu yetu Nawatakia kila la heri vijana wetu.
 
Mechi ni lini wadau? hii timu naipenda hadi naumwa
 
Mechi ni lini wadau? hii timu naipenda hadi naumwa
Leo Mkuu saa sina uhakika sana ingawa vyanzo visivyo rasmi vinasema ni saa 3
 
Uipende timu mpaka unaumwa halafu ratiba ya mechi hujui wapi na wapi kama sio uongo ni nini
 
Hii team lazima Leo igongwe tu maana hamna jinsi!
 
Na leo inagogwaa,na me nataka wagogwe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…