fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
baki tu na u simba wako. kwa nini udanganye?Ukweli ni kwamba,marumo japo inakaribia kushuka daraja lakini uwezo wa wachezaji wake ni mkubwa kuliko timu yangu ya yanga na sijui tutafanyake kuwazuia wasitufunge.tutatolewa tu
Sawa naipokea polePole sana...
Nafurahi maneno yako ya kunitia moyoWao Marumo wabaki na uzuri walionao ila Yanga inakwenda kupata matokeo na kuvuka kuingia fainali.
Swala la wao kuwa wazuri kuliko Yanga lisikusumbue.
Yanga inacheza kibingwa.
Ipo miaka mingi sema ilibadili jina tuYaani Yanga iihofie Marumo fc.
Hiyo timu ndio naisikia mwaka huu.
Usikimbilie kumsema mtu ni simba wakati wala humjui mie ni yanga kwa kadi kabisabaki tu na u simba wako. kwa nini udanganye?
Ni danganye ili iweje?baki tu na u simba wako. kwa nini udanganye?
Yaani chini umemalizia kwa unachokipenda kitokee. Eti Yanga tutatolewa tu. Endelea hivyo hivyo kuombea Yanga itoke.Ukweli ni kwamba,marumo japo inakaribia kushuka daraja lakini uwezo wa wachezaji wake ni mkubwa kuliko timu yangu ya yanga na sijui tutafanyaje kuwazuia wasitufunge.tutatolewa tu
Kimahesabu ni ngumu lakini mimi nimeangalia historia ya michezo yao yote aisee hawa jamaa ni hatari hushambulia kama nyuki wakiwa nyumbani kwao na sijawahi kuona mechi yoyote ambayo yanga ilishambuliwa sana na wakayahimili mashambulizi hayo. Na mara mpira wa dar ulipoisha marumo walianza hapo hapo kuwatisha yanga kwamba mtakuja kwetu na mtatutambua,hiyo ndio hofu yangu vinginevyo hata wakitolewa sina la kuwadai yangaYaani chini umemalizia kwa unachokipenda kitokee. Eti Yanga tutatolewa tu. Endelea hivyo hivyo kuombea Yanga itoke.
Jamaa ni wazuri kweli, wana wachezaji wazuri, na wana kasi sana ila Yanga hakupata magoli mawili kwa bahati bali kwa kucheza mpira wa kutafuta matokeo. Hivyo pamoja na hao jamaa kuwa wazuri wanatakiwa watafute magoli mawili ya kusawazisha kwanza huku wasiruhusu goli. Kimahesabu Yanga yupo mguu mmoja ndani kuelekea fainali ila kimpira bado hadi 90 za mwisho. Lakini nimeshaangaa tu aliyekuwa na advantage ndio umemkatia tamaa, ni wazi moyo wako utafurahia endapo Yanga atatolewa.
Mkuu mpira ni mbinu na sio kukimbia kimbia uwanjani. Unadhani Marumo Gallants wamefungwa Dar kwa kupenda? Mechi ya Pyramids kule Misri walitoka sare na Pyramids ndio waliosawazisha. Mechi iliyofuata kule South Marumo wamepata goli moja pekee dhidi ya Pyramids. Cha kwanza unaona mzani uliopo kwao wa Yanga ni kama Yanga imewaacha kwa upande wa ubora. Yanga wana kazi ndogo sana kufuzu kuliko wao wanaodaiwa nagoli mawili. La pili Yanga huwa wanacheza vizuri sana away kuliko nyumbani. Mechi ya Al Hilal yanga pamoja na kufungwa goli moja lakini alitawala mchezo, mechi ya club African ndio kabisa Yanga akawatolea huko huko kwao, mechi dhidi ya Monastir Yanga ilitawala mchezo wakafanyika uzembe kwenye set pieces Tp Mazembe, Real Bamako na Rivers wote hawa wameshindwa kumfunga Yanga wakiwa makwao.Kimahesabu ni ngumu lakini mimi nimeangalia historia ya michezo yao yote aisee hawa jamaa ni hatari hushambulia kama nyuki wakiwa nyumbani kwao na sijawahi kuona mechi yoyote ambayo yanga ilishambuliwa sana na wakayahimili mashambulizi hayo. Na mara mpira wa dar ulipoisha marumo walianza hapo hapo kuwatisha yanga kwamba mtakuja kwetu na mtatutambua,hiyo ndio hofu yangu vinginevyo hata wakitolewa sina la kuwadai yanga
Yanga haijawahi kuwa na watu wa aina yako. Only mbumbumbu fc.Ukweli ni kwamba,marumo japo inakaribia kushuka daraja lakini uwezo wa wachezaji wake ni mkubwa kuliko timu yangu ya yanga na sijui tutafanyaje kuwazuia wasitufunge.tutatolewa tu
Tumeshawazoea. Sasa hivi mnajifanya kutoa tahadhari (hata kwa Rivers United mlisema hivi hivi)!Ila Yanga mjipange msichukulie poapoa wale watu. Niliona gemu Yao hapa Bongo wako vizuri
Kama Yanga ingekuwa inachezaKimahesabu ni ngumu lakini mimi nimeangalia historia ya michezo yao yote aisee hawa jamaa ni hatari hushambulia kama nyuki wakiwa nyumbani kwao na sijawahi kuona mechi yoyote ambayo yanga ilishambuliwa sana na wakayahimili mashambulizi hayo. Na mara mpira wa dar ulipoisha marumo walianza hapo hapo kuwatisha yanga kwamba mtakuja kwetu na mtatutambua,hiyo ndio hofu yangu vinginevyo hata wakitolewa sina la kuwadai yanga
Mbona tuliwafunga, ilikuwaje?Ukweli ni kwamba,marumo japo inakaribia kushuka daraja lakini uwezo wa wachezaji wake ni mkubwa kuliko timu yangu ya yanga na sijui tutafanyaje kuwazuia wasitufunge.tutatolewa tu
Maoni ya kutia moyo ntafurahi mno tukishinda au kutoka sare ili tufuzuMkuu mpira ni mbinu na sio kukimbia kimbia uwanjani. Unadhani Marumo Gallants wamefungwa Dar kwa kupenda? Mechi ya Pyramids kule Misri walitoka sare na Pyramids ndio waliosawazisha. Mechi iliyofuata kule South Marumo wamepata goli moja pekee dhidi ya Pyramids. Cha kwanza unaona mzani uliopo kwao wa Yanga ni kama Yanga imewaacha kwa upande wa ubora. Yanga wana kazi ndogo sana kufuzu kuliko wao wanaodaiwa nagoli mawili. La pili Yanga huwa wanacheza vizuri sana away kuliko nyumbani. Mechi ya Al Hilal yanga pamoja na kufungwa goli moja lakini alitawala mchezo, mechi ya club African ndio kabisa Yanga akawatolea huko huko kwao, mechi dhidi ya Monastir Yanga ilitawala mchezo wakafanyika uzembe kwenye set pieces Tp Mazembe, Real Bamako na Rivers wote hawa wameshindwa kumfunga Yanga wakiwa makwao.
Approach nzuri ya Yanga + utulivu ndio itakayoamua mechi, lakini sio mechi rahisi hivyo unavyochukulia wewe kwa hao Gallants, wangeanza kumpiga nyingi Pyramids