Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa bongo ndio tulichukulia poa ila kwao tutakuwa mahiri zaidi si unaona benchi na wachezaji hawakufurahia namna tumechezaIla Yanga mjipange msichukulie poapoa wale watu. Niliona gemu Yao hapa Bongo wako vizuri
Ni kweli timu za msimu huu kwenye confederation ni dhaifuTumeshawazoea. Sasa hivi mnajifanya kutoa tahadhari (hata kwa Rivers United mlisema hivi hivi)!
Halafu Yanga wakishinda, mnabadikisha tena kiswahili kwa kusema walicheza na timu dhaifu, na inayotaka kushuka daraja!
Umeanza kuipenda lini Yanga wewe depotivo la kolozUkweli ni kwamba,marumo japo inakaribia kushuka daraja lakini uwezo wa wachezaji wake ni mkubwa kuliko timu yangu ya yanga na sijui tutafanyaje kuwazuia wasitufunge.tutatolewa tu
Yanga kashinda mechi ngapi ugenin mashindano haya ya cuf?Ni danganye ili iweje?
Toka 1981Umeanza kuipenda lini Yanga wewe depotivo la koloz
Unafikiri hilo wanajua basi!!Ipo miaka mingi sema ilibadili jina tu
Mpira ni mbinuMkuu mpira ni mbinu na sio kukimbia kimbia uwanjani. Unadhani Marumo Gallants wamefungwa Dar kwa kupenda? Mechi ya Pyramids kule Misri walitoka sare na Pyramids ndio waliosawazisha. Mechi iliyofuata kule South Marumo wamepata goli moja pekee dhidi ya Pyramids. Cha kwanza unaona mzani uliopo kwao wa Yanga ni kama Yanga imewaacha kwa upande wa ubora. Yanga wana kazi ndogo sana kufuzu kuliko wao wanaodaiwa nagoli mawili. La pili Yanga huwa wanacheza vizuri sana away kuliko nyumbani. Mechi ya Al Hilal yanga pamoja na kufungwa goli moja lakini alitawala mchezo, mechi ya club African ndio kabisa Yanga akawatolea huko huko kwao, mechi dhidi ya Monastir Yanga ilitawala mchezo wakafanyika uzembe kwenye set pieces Tp Mazembe, Real Bamako na Rivers wote hawa wameshindwa kumfunga Yanga wakiwa makwao.
Approach nzuri ya Yanga + utulivu ndio itakayoamua mechi, lakini sio mechi rahisi hivyo unavyochukulia wewe kwa hao Gallants, wangeanza kumpiga nyingi Pyramids