Naipenda sana Yanga!

Naipenda sana Yanga!

Huo ndiyo ukweli, yaani nikisema upenzi wa soka bila kutaja yanga sioni maana ya soka.

Yanga ina mipango ya muda mrefu na ya mfupi, ina viongozi wenye shule na IQ kubwa tofauti na 7up fc, hukubali makosa na kujirekebisha, siyo wa binafsi, wanajua kulea wachezaji, wa najua mashabiki wanataka nn.

Kuniambia nihame yanga nikama kunitaka nihame kabila langu.

Ukitaka raha njoo yanga, ukitaka mume muelewa olewa na mpenzi wa yanga , ukitaka mke mzuri, mwenye sifa za wife material oa shabiki wa kike wa yanga.

Mtaa wa pili utakutana na waimba taarabu , wacheza vigodoro na wanaume suruali. Njoo Yanga upate raha.
1eb85ca9831f3f14d18e8024a23268d7.jpg
71c81733910128cfefd709692de3ba3d.jpg
 
Back
Top Bottom