Naipenda Simba SC, ila kwa hapa nawapa heko Yanga.

Bado hoja zako hazijibu hali halisi ya kwamba Yanga ifanye nn kuvunja rekodi ya pointi 2 za miaka ile. Nadhani hiyo ndio hoja ya msingi kuliko kuzungumzia timu hiyo unayoita yenu ambayo haipo kwenye mashindano haya
Soma uzi kwa mara nyingine tena, uelewe kipi kinazungumziwa kwenye huu uzi.
 
Yanga wanafanya vizuri.....tuache unafiki..samba yetu wakuda tu nowadays
 
Hahahaaa!!!...ndoo ya maji.
 
Simba itachukuaje ubingwa wakati Tff na Marefa woote wanataka Yanga ishinde tu,,

Kila mechi lazima ipewe penati au timu pinzani ichapwe red Card,,

Huku kwenye makundi ujinga huu hakuna,, kwa kuionea sn Simba ndiyp maana ikienda huko inapasua sn.
Kama kweli Yanga inabebwa kama unavyodai, kuna haja gani ya Simba kubadilisha karibu Timu nzima? Mabadiliko hayo yataisaidiaje Simba kuifanya Yanga isibebwe? Au imeshaongea na TFF na kupewa masharti ya kusajili upya ndipo upepo wa kupendelewa uhamie kwa Simba? Kauli yako ya utetezi inasutwa na matendo ya Simba kwenye usajili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…