Naipenda YANGA kwa kuwa ni timu ya chama naipenda SIMBA kwa kuwa inaniletea heshima-KIKWETE

Naipenda YANGA kwa kuwa ni timu ya chama naipenda SIMBA kwa kuwa inaniletea heshima-KIKWETE

kwahiyo ukirudisha kadi ya ccm urudishe na ya yanga?
 
siasa tu hiyo, anachotaka yy ni kukubalika kote kote,

swadakta..... ni kama vile anavyolazimisha kukubalika kwa mafisadi (rachel) na vivyo hivyo kwa wale wengine (ze mwakyembez)
 
Moja ya kauli iliyowah kunukuliwa kutoka kwa the prezidaa wetu,dr.JK vipi wadau hii ina maana gani?Nawasilisha!

kamwe ndumilakuwili hawezi kuwa ni mwenzetu kabisa................................
 
Moja ya kauli iliyowah kunukuliwa kutoka kwa the prezidaa wetu,dr.JK vipi wadau hii ina maana gani?Nawasilisha!

Naipenda YANGA kwa kuwa ni timu ya chama naipenda SIMBA kwa kuwa inaniletea heshima-KIKWETE

Tangu lini Yanga ikawa timu ya CCM???
Kwani mapesa wanayofisadi CCM yanaingia hadi Yanga??
Wapi iliandikwa Yanga ni timu ya CCM?
 
yanga ni timu ya chama gani? afafanue. yanga na ccm ni vitu viwili tofauti. heshima gani aletewayo na simba? wasanii bwana, kila kona lazima wafike kupeleka usanii wao uchwara! huyu jamaa, kweli hamnazo na hana kitu. ki hivi hafai hata kuongoza simba na yanga...yani kero mpaka kwenye usimba na uyanga?
 
Moja ya kauli iliyowah kunukuliwa kutoka kwa the prezidaa wetu,dr.JK vipi wadau hii ina maana gani?Nawasilisha!

Yeye ni mtaalamu wa kutwanga kokote....anang'ata na kupuliza pia....
 
Moja ya kauli iliyowah kunukuliwa kutoka kwa the prezidaa wetu,dr.JK vipi wadau hii ina maana gani?Nawasilisha!

Oooooooooooops!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Pumba tupu hapa.
 
''Naipenda tz kwa sababu wanalalamika bila ku-act, na Msoga kwa vile am the best, tehe! tehe! tehe!''
 
Da da nilikuwa sijui kama yanga in timu ya chama kuanzia Leo naiacha Yanga Kwa kuwa naichukia sana ccm
 
Mkuu wa nchi alishalonga enzi hizo kumbe kocha wa Azam hakukosea aliposema kwamba NANI HAJUI KUWA YANGA F.C NI TIMU YA C.C.M?
 
Bora angesema ccm ni tawi la Yanga, kuliko kusema Yanga ni timu ya CCM......
 
Unaushahidi? Kuna timu zilikuwa mstari wa mbele kuhujumu juhudi za kupata uhuru zikishirikiana na mkoloni
 
Back
Top Bottom