Nawaangalia nacheka tu matokeo ni kwamba Argentina akifanikiwa kuzidi 16 bora basi hakatizi Robo fainali ni kama ilivyo Kwa waingereza, Spain pia huyo hata 16 inaweza kuwa ngumu kwake kukatiza!
Ufaransa atakatiza ila anachinjwa Nusu Fainali Utashangaa Fainali anaingia Kigogo mmoja na ka timu ambako hamkutegemea!
Nawaambia tena nchi hizi nimeziona na madhaifu yake, Timu zilizokuwa zinatisha ni Serbia na Switzerland pia hata Senegal wanatisha japo si wa kuwahesabia Kwenda Fainali !!!
Nasimama na Brazil hadi sasa naona wana weza wakafika mbali wakipunguza Ubishoo