HahahhahKwani hasara shingapi? Si kupanda mbegu tu? Napanda sitegemei kuvuna. Ni kama kulima Big G , siku mti ukiota unaenda kutoa ushuhuda, mtumeeee kuna miuujizaaa........ Nini kimetokea??? Nililima Big G zimeota, nitaleta mavuno kanisani, na malimbuko
Hahaha una risivu tuu bila kuona
PIGA makofi kwa BWANAHahahhah
Hahaha una risivu tuu bila kuona
PIGA makofi kwa BWANAHahahhah
Wanakutana wapi sasa?Kamuuliza Argentina alifanywa nin na ufaransa kombe la dunia 2018 pigwa goli 4 Kama wamesimama kudadekiii toka siku hio mess hakunyoa ndevu mpaka leo [emoji3][emoji3][emoji3]....
Hao midebwedo Argentina wakikutana na ufaransa Tena watajuta kuzaliwa ....
We jamaa kmmk nimejikuta na[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]toka siku hiyo mess hajanyoa ndevu Mpaka leoKamuuliza Argentina alifanywa nin na ufaransa kombe la dunia 2018 pigwa goli 4 Kama wamesimama kudadekiii toka siku hio mess hakunyoa ndevu mpaka leo [emoji3][emoji3][emoji3]....
Hao midebwedo Argentina wakikutana na ufaransa Tena watajuta kuzaliwa ....
Kamuuliza Argentina alifanywa nin na ufaransa kombe la dunia 2018 pigwa goli 4 Kama wamesimama kudadekiii toka siku hio mess hakunyoa ndevu mpaka leo [emoji3][emoji3][emoji3]....
Hao midebwedo Argentina wakikutana na ufaransa Tena watajuta kuzaliwa ....
Mkuu ndio sababu ya mess kuwa na mandevu ,NI kipigoo cha mbwa Koko kutoka Kwa ufaransa kombe la dunia 2018 ....We jamaa kmmk nimejikuta na[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]toka siku hiyo mess hajanyoa ndevu Mpaka leo
Alipigwa na Saudi Arabia kwa hiyo sio rahisi kama unavyowaza.
Hawa waliua Negro woteBaada ya kuingia 16 bora, atacheza na Australia halafu kwenye robo fainali atakutana na mshindi kati ya Uholanzi na Marekani.
Hapo Argentina wanawaza watakutana na nani kwenye nusu fainali maana hakuna timu yoyote ya kuwasumbua katika hizo tajwa hapo juu.
Kiutani namna hii Argentina anakwenda kubeba kombe la dunia 2022.
Rejea Nawapongeza Senegal kwa Kufuzu Hatua ya 16 bora Kombe la Dunia 2022
Itakuwa umeanza kuangalia kombe la dunia miaka ya hivi karibuni. Hili ni kombe la dunia la saba naliangalia na ninakuambia bingwa atakuwa Argentina. Sio kwamba wana wachezaji wazuri sana ila timu yao ni nzuri.Nawaangalia nacheka tu matokeo ni kwamba Argentina akifanikiwa kuzidi 16 bora basi hakatizi Robo fainali ni kama ilivyo Kwa waingereza, Spain pia huyo hata 16 inaweza kuwa ngumu kwake kukatiza!
Ufaransa atakatiza ila anachinjwa Nusu Fainali Utashangaa Fainali anaingia Kigogo mmoja na ka timu ambako hamkutegemea!
Nawaambia tena nchi hizi nimeziona na madhaifu yake, Timu zilizokuwa zinatisha ni Serbia na Switzerland pia hata Senegal wanatisha japo si wa kuwahesabia Kwenda Fainali !!!
Nasimama na Brazil hadi sasa naona wana weza wakafika mbali wakipunguza Ubishoo
France hii iliyochapwa na Tunisia haiwezi kumzuia Argentina ,Kamuuliza Argentina alifanywa nin na ufaransa kombe la dunia 2018 pigwa goli 4 Kama wamesimama kudadekiii toka siku hio mess hakunyoa ndevu mpaka leo [emoji3][emoji3][emoji3]....
Hao midebwedo Argentina wakikutana na ufaransa Tena watajuta kuzaliwa ....
Ukisema alifungwa goli nne ukaishia hapo unakuwa upo subjective na sio objective.Kamuuliza Argentina alifanywa nin na ufaransa kombe la dunia 2018 pigwa goli 4 Kama wamesimama kudadekiii toka siku hio mess hakunyoa ndevu mpaka leo [emoji3][emoji3][emoji3]....
Hao midebwedo Argentina wakikutana na ufaransa Tena watajuta kuzaliwa ....
@Excute nipo Argentina boss kama wewe ila naona unajiamini hadi unanitia hamasaItakuwa umeanza kuangalia kombe la dunia miaka ya hivi karibuni. Hili ni kombe la dunia la saba naliangalia na ninakuambia bingwa atakuwa Argentina. Sio kwamba wana wachezaji wazuri sana ila timu yao ni nzuri.
Brazil wanao wachezaji wazuri sana ila hawana timu. Watatolewa wakikutana na ufaransa au Spain ila kama wakivuka mpaka fainali basi kama kawaida Argentina atawafunga kama alivyofanya mwaka jana kwenye Copa America.
Uingereza anaweza kutolewa na Senegal kwasababu waingereza wana maneno mengi kuliko mpira. Ila hapo kwa uswisi na Serbia naona utakuwa umekosea, hizo timu zipo tactical sana lakini sio timu za kutisha inapokuja kwenye kushambulia.
Argentina haifiki hata nusu fainaliBaada ya kuingia 16 bora, atacheza na Australia halafu kwenye robo fainali atakutana na mshindi kati ya Uholanzi na Marekani.
Hapo Argentina wanawaza watakutana na nani kwenye nusu fainali maana hakuna timu yoyote ya kuwasumbua katika hizo tajwa hapo juu.
Kiutani namna hii Argentina anakwenda kubeba kombe la dunia 2022.
Rejea Nawapongeza Senegal kwa Kufuzu Hatua ya 16 bora Kombe la Dunia 2022
Kamuuliza Argentina alifanywa nin na ufaransa kombe la dunia 2018 pigwa goli 4 Kama wamesimama kudadekiii toka siku hio mess hakunyoa ndevu mpaka leo [emoji3][emoji3][emoji3]....
Hao midebwedo Argentina wakikutana na ufaransa Tena watajuta kuzaliwa ....
Mbona Saudia alifunga Argentina..?? Mpira haupo hivyo..Jambo la msingi ni kuwaombea wapate matokeo mazuri ili wafanikishe malengo Yao Ila kusema hakuna team ya kuwazuia ni uongo mpira Una maajabu yake.Huwezi kukaba dk 90! Sio kwa Argentina hii.Mind you hakuna team ya kuizuia Argentina WC hii labda Brazil ndo anaewaza mpa game tough.
Senegal mwana wa Afrika.Huwezi kukaba dk 90! Sio kwa Argentina hii.Mind you hakuna team ya kuizuia Argentina WC hii labda Brazil ndo anaewaza mpa game tough.
hivi wewe unaangalia mpira au una ujinga wako kichwani ?We mwache na mahaba yake ya Messi mkojo wa Punda anayebebwa na kina Mbappe pale PSG