Am_tunnechi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2022
- 1,060
- 1,956
We mwache na mahaba yake ya Messi mkojo wa Punda anayebebwa na kina Mbappe pale PSG
Nasikia Ronaldo anapigwa pipe?Wewe timu Ronaldo utakufa kwa presha.
Jipe moyo shughuli ni pevu sana arg 2:2 nedBaada ya kuingia 16 bora, atacheza na Australia halafu kwenye robo fainali atakutana na mshindi kati ya Uholanzi na Marekani.
Hapo Argentina wanawaza watakutana na nani kwenye nusu fainali maana hakuna timu yoyote ya kuwasumbua katika hizo tajwa hapo juu.
Kiutani namna hii Argentina anakwenda kubeba kombe la dunia 2022.
Rejea Nawapongeza Senegal kwa Kufuzu Hatua ya 16 bora Kombe la Dunia 2022
Muda huu Ned akipata la 3 baasiNipo hapa natazama. Ngoma ngumu hii. Nchi za ulaya wamejipanga.
Duh!..Kiutani namna hii Argentina anakwenda kubeba kombe la dunia 2022.