Naipongeza CCM kwa kufanikiwa kuwapangia Watanzania cha kujadili

Naipongeza CCM kwa kufanikiwa kuwapangia Watanzania cha kujadili

Rozela

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
845
Reaction score
2,235
Wiki hii tumepangiwa kujadili mambo ya simba na yanga na hii ni sehemu zote si vijiweni si ofisini, barabarani, wala hospitali.

Kwenye mikusanyiko yote rasmi na isiyo rasmi story kuu ni hizi timu za CCM.

CHADEMA mna safari ndefu sana, hii ndiyo nchi yenu ndiyomaana yule mzee akaona awaruhusu covid 19 tu chama kipate maokoto maana akili ya kujikomboa bado sana.
 
Back
Top Bottom