"kuwa mwana CCM inahitaji degree ya unafki" MusibaNaunga mkono hoja, uchaguzi huu umeendeshwa vizuri sana, ilikuwa ni uchaguzi huru na wa haki. Atakashinda, ameshinda kwa haki na halali na aliyeshindwa, ameshindwa kwa haki. Mshindwa ampongeze mshindi, maisha yaendelee.
P
huwez kujikomboa kama haki na uhuru wako unaminywa na Dola... Ni ngumuNdo hivyo sasa, sisi wenyewe tunapambana mpaka tujikomboe
hahahNilikua wakala wa kituo idadi ya kura ya mgombea udiwani na uraisi ni tofauti wakati kila mpiga kura alipewa karatasi sawa..
Akuna Uhuru msijidanganye!
lusungo nini mbaya leo ukiacha unafki tu mkuu?? Sema ukweli sio hoja uchwala mkuu za kina BAKNaona mmetumwa.
usiwapotoshe wajinga wenzio,nipo kwenye tv mda huu report ya zanzibar ndo imetoka hivi punde kuwa mchakato wa kuhesabu haujaanza bado,..View attachment 1615158
Je mtatangaza [emoji2303][emoji2303][emoji2303]
🖕🏾🖕🏾🖕🏾🖕🏾🖕🏾usiwapotoshe wajinga wenzio,nipo kwenye tv mda huu report ya zanzibar ndo imetoka hivi punde kuwa mchakato wa kuhesabu haujaanza bado,..
😁😁😁😁😂😂😂 na badooo!!!!🖕🏾🖕🏾🖕🏾🖕🏾🖕🏾
Mpiga kura anaweza kumpigia kura Rais na akaharibu kura ya Diwani au mbunge na hivyo hesabu isiwe sawa kwa kila ngazi. Hili ni suala la behaviour za mpiga kura. Muhimu ni kuwa kura zilizopigwa kituoni haizidi idadi ya waliojiandikisha kwenye kituo hicho.Nilikua wakala wa kituo idadi ya kura ya mgombea udiwani na uraisi ni tofauti wakati kila mpiga kura alipewa karatasi sawa..
Akuna Uhuru msijidanganye!
Ndiyo utaratibu lazima upewe karatasi ikiwa imechanwa .Sio kila mahali
Nilipokua mie mwananyamala huku kwa kopa karatasi nimepewa zimekunjwa zimeshachanwa kwenye kitabu
Za kuanzia diwani.mpka raisi
Mie ilikua nakujunjua natki nakunja walivokua wamekunja
Tatizo ni kuwa tume ndiyo yenye mamlaka pekee ya kutangaza matokeo. Hata wewe hapa unavunja sheria kwa sababu source ya hiyo habari yako haiaminiki na ukikabwa sawa sawa sijui kama utaweza kuthibitisha kuwa matokeo hayo ndiyo sahihi. Na tume ikishatangaza matokeo yake hayahojiwi wala kupingwa mahakamani.View attachment 1615158
Je mtatangaza [emoji2303][emoji2303][emoji2303]
DuhNaunga mkono hoja, uchaguzi huu umeendeshwa vizuri sana, ilikuwa ni uchaguzi huru na wa haki. Atakashinda, ameshinda kwa haki na halali na aliyeshindwa, ameshindwa kwa haki. Mshindwa ampongeze mshindi, maisha yaendelee.
P
Naipongeza NEC kwa uwizi wa kihistoria wa kura,mtu anakutwa na kura 5000 yani ni uchafuzi sio uchaguziKwa mjibu wa taarifa kutoka vyombo mbalimbali vya habari zikiwemo ITV, AZAM, CHANNEL 10, TBC na Online TVs karibu kila kona ya Tanzania zoezi la upigaji kura limeenda vizuri na kasoro nyingi zilizozoeleka kufanyika mwaka huu hazikuonekana na upigaji kura ulifanyika kwa amani na utulivu.
Nawapongeza NEC kwa hatua hii, kamilisheni hatua zilizosalia pia kwa uweledi. Nawaomba watanzania tupuuze madai machache yanayodai kupigwa kwa kura feki.
Kwa utaratibu wa kura za mwaka huu kila kura inayopigwa lazima serial number yake irekodiwe mbele ya mawakala wote. Hivyo hakuna namna kura feki inaweza kupigwa na isionekane wakati wa kulinganisha kura zilizopigwa na zile zenye serial numba zilizorekodiwa. Hivyo tuzipuuze.
Mmeombwa na NEC kutoa ushahidi, hakuna yeyeto liyethubutu hata kutoa chemba ya ushahidi. Ni kauli tu za mfa majiNaipongeza NEC kwa uwizi wa kihistoria wa kura,mtu anakutwa na kura 5000 yani ni uchafuzi sio uchaguzi
Kama wanalalamika ni haki yao kuthibitisha malalamiko yaoNaunga mkono hoja, uchaguzi huu umeendeshwa vizuri sana, ilikuwa ni uchaguzi huru na wa haki. Atakashinda, ameshinda kwa haki na halali na aliyeshindwa, ameshindwa kwa haki. Mshindwa ampongeze mshindi, maisha yaendelee.
P
Mushashinda nchi ya chama kimoja twendeee tukasage menoNgoja waje kutoka kwenye 'kulinda kura' ndo utayaoga matusi yao, ukijumulisha na hasira za kushindwa ndo basi kabisa.