Uchaguzi 2020 Naipongeza NEC kwa utaratibu mzuri wa zoezi la kupiga kura leo

Uchaguzi 2020 Naipongeza NEC kwa utaratibu mzuri wa zoezi la kupiga kura leo

Naunga mkono hoja, uchaguzi huu umeendeshwa vizuri sana, ilikuwa ni uchaguzi huru na wa haki. Atakashinda, ameshinda kwa haki na halali na aliyeshindwa, ameshindwa kwa haki. Mshindwa ampongeze mshindi, maisha yaendelee.
P
Ila wew jamaaa, cheo unakitafuta aisee naomba Mungu upate uteuzi awamu hii hata yakudeki kule kinyerezi maana unapambana sana na kujitoa akili robo iliyokuwa imebakia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa! Siasa! Siasa!
Mi nadhani tunahitaji elimu zaidi ya tunavyohitaji uongozi. Yaani kwa mchakato mzima huu mtu mwenye akili timamu lazima aone aibu kupongeza NEC kwa uchaguz wa huru na haki. Anyway, naona njaa ni tatzo pia😚
Mushashinda nchi ya chama kimoja twendeee tukasage meno
Kabisa....kinachofurahisha ni kwamba kama namba tunaisoma wote😂
 
Kitendo cha mawakala kucheleweshwa kuingizwa kwenye vituo kimeweka doa katika mchakato, japo uchaguzi ulifanyika katika hali ya utulivu
 
Back
Top Bottom