Hatua ya per capital $1800? We ni mgonjwa tu hujielewhawa watu hawaamini kuwa KE imepiga hatua hivi. Kazi yao ni kuangalia mambo kidogo ambayo hayaendi vizuri.
Ni vile tu MOI alikula KE miaka 24, saa hii hatungekuwa hata tunajibizana hapa na Wana Bongo
Hujielewi wewe kengeKenya sikuzote iko makini kwa kila jambo huku tz tushajenga daraja letu pale ubongo tunaits fry....
Kama hizo interchange zitakuwepo Nai itakua ya level za mbele huko
Mh embu acha kutusemea muzee ...yaan tu celwbrate fly over gan ? Embu acha mikwara bana mbona ss hatuwasemei kama mnashangilia sgr yenyuuu ... We keep doing our things kimya kimyaaa si mpaka tupazeee masauti
Yes, nyinyi bado mko LDC.Hatua ya per capital $1800? We ni mgonjwa tu hujielew
Uko na renders yake?Interchange ya Nyayo-langata -Mombasa road - Itakuwa 4 stack levels