komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
- Thread starter
- #21
Basi hata hyo battle anawezana nayo huyoKwa Battle tuliwaacha wakitapatapa baada ya Mombasa kuibuka mshindi dhidi ya Dark es sluum.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi hata hyo battle anawezana nayo huyoKwa Battle tuliwaacha wakitapatapa baada ya Mombasa kuibuka mshindi dhidi ya Dark es sluum.
Umepanic[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu maji mmepata leo?
Level ipi wakati chakula hakunaUmepanic[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dar kufikia level hyo mtasubiri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
zombie Apocalypse nmechange Id nameHahaaaa!!we unaongea nn, kwanza hilo bando unalo au ni kelele tu..
Manake hko mi sijakuona hata ukichangia, so nakushangaa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa!!hii id inaonyesha umejiunga jan 25th lkn bado sijaona hata ukucha wako kw battle[emoji1787][emoji1787][emoji1787]zombie Apocalypse nmechange Id name
Naona umebaki na maneno ya khanga, chunga usije ukapata maradhi ya moyo..Level ipi wakati chakula hakuna
we si ndo nlikwambia mna mitungi ya oxygen iliyochakaa ukanitukanaHahahaaa!!hii id inaonyesha umejiunga jan 25th lkn bado sijaona hata ukucha wako kw battle[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Km huna bundles sema nitakununulia..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakutana na nelly kw battle hata siku moja..we si ndo nlikwambia mna mitungi ya oxygen iliyochakaa ukanitukana
pia nenda kwenye battle ya ferry. Eti uninunulie bundle[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Ushawahi kufika Dar?Naona umebaki na maneno ya khanga, chunga usije ukapata maradhi ya moyo..
Manake ulichokiona kw hyo video, kukikuta dar ni ndoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwn siku hizi imebadilika, manake najua utauliza lini?..Ushawahi kufika Dar?
Dar is slum is bigger than even New York. Tumia akili sasaNdiyo.. Mbona huu mjadala tulishaufunga? Nby has like 574 Km sq while Dar has like 1560 km sq.. Dar being three times bigger than Nby!
Huwezi muona hapa hata kidogo.
Season 4 gandi alimlisha shaba bana, yani niliboeka haswaThe Green City in the Sun at its best! Bila kumsahau Nairobi kwenye La Casa de Papel, Money Heist.Poner la mana en el fuego por Nairobi. 😎![]()
Ndiyo.. Mbona huu mjadala tulishaufunga? Nby has like 574 Km sq while Dar has like 1560 km sq.. Dar being three times bigger than Nby!