Nairobi: BBC kufungua ofisi kubwa kabisa nje ya UK

walisema hivyo??
jamaa mbishi...hata kwa vitu straighforward tu kama hizi bado anapinga...hii ndio inaitwa thinking too much or overthinking and introversion..sijui mara household, mara income, mara BBC structure...lol! who even mentioned those things?
 
Across the border mambo ni haya 😂😂

65B15005-2162-4E5D-A053-F525EC6DA3DB.jpeg
98184C42-068E-4135-9D66-DA417DCE1A45.jpeg
 
Hivi uko allergic kwa Google?
hivi huo ujinga wako ni wa kuzaliwa nao ama ni acquired?? rudi tena kwa comment yangu uangalie nime-bold neno gani kwa upuuzi ulioandika!
 
[emoji849][emoji849][emoji23][emoji23][emoji23] Hapa ndio Uwivu imekufikisha. Keep consoling yourself.
Matukio mengi ya ajabu hutokea Nairobi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lazima waende huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tunaanza polepole tu.Already tumefungua Uganda. And Kenyan media is dominating the region.
Nyinyi na hio sijui Azam yenu mko mnafanya nini apart from kununua malory[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Lini k24 au citizen mtafungua ofisi London?
 
Tunaanza polepole tu.Already tumefungua Uganda. And Kenyan media is dominating the region.
Nyinyi na hio sijui Azam yenu mko mnafanya nini apart from kununua malory[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Mtaishia hapohapo Uganda
 
Huyu Ndugu yenu Larry amewadanganya, the biggest BBC office out of UK is in USA, BBC AMERICA infact its independence in terms of generating its own income.

Your last point I take it as a joke, Kenya closes down media houses every time someone feel threaten. kweli uwongo?
BBC america has a staff of 100, BBC Kenya hass a staff of 300....... infact, 50% of all BBC Africa journalists are based in Nairobi. BBC America largest revenue stream is production of Movies and Films, something that they outsource to hollywood .

----
Close to 300 of the 600 BBC journalists working across Africa are based in the new, state-of-the-art facility.
"Our most important investment will be in training the next generation of African reporters and producers to world-class standards," Francesca Unsworth, Director of BBC News, said.
The expansion is being funded by $376m (£289m) from the UK government.
The production facilities at the bureau include a TV studio and two further live broadcast positions, two radio studios, two radio workspaces and five TV edit suites.
BBC launches largest bureau outside UK
 
Manyang'au kweli wanapendwa kutawaliwa, labda wale wahenga wa Mau Mau tu ndio wako tofauti!🙁😡😕
Kwanza wanaruhusu majeshi ya nchi nyingine kuweka kambi kwao..bila kujali madhara yake baadaye..
Pili kuruhusu mambo kama haya, wao wanaona wanapendwa, ila jiulize, kumruhusu mwanaume mwingine kuweka makazi hasa ya kivita kwenye boma lako kwaweza kukuletea madhara gani?!
Cha kuchekesha, kutwa wana wa harass waandishi wao wa habari, kama siyo kuvamia basi watawanyanyasa na hata kulipuwa ofisi za waandishi wao, ila mzungu kaja na chombo cha utangazaji mijamaa inakenuwa meno?! Unbelievable...
Bila kuondokana na tabia ya hizi za kuona utumwa ni poa tu kizazi chao kitataliwa milele..
 
Safi sana, Kenya ndio kitovu cha Afrika, waje wote tu...
 
Mpumbavu sana. Ingekuwa Tanzania ungeongea ushenzi huu wote?? Wivu utakumaliza
 
Manyang'au kweli wanapendwa kutawaliwa, labda wale wahenga wa Mau Mau tu ndio wako tofauti!🙁😡😕
Kwanza wanaruhusu majeshi ya nchi nyingine kuweka kambi kwao..bila kujali madhara yake baadaye..
Pili kuruhusu mambo kama haya, wao wanaona wanapendwa, ila jiulize, kumruhusu mwanaume mwingine kuweka makazi hasa ya kivita kwenye boma lako kwaweza kukuletea madhara gani?!
Cha kuchekesha, kutwa wana wa harass waandishi wao wa habari, kama siyo kuvamia basi watawanyanyasa na hata kulipuwa ofisi za waandishi wao, ila mzungu kaja na chombo cha utangazaji mijamaa inakenuwa meno?! Unbelievable...
Bila kuondokana na tabia ya hizi za kuona utumwa ni poa tu kizazi chao kitataliwa milele..
baadae ndio sasa,hayo majeshi yamekaa miaka mingi,hebu twambie yataivamia kenya?

Kwani waarabu wamenyimwa kupeleka majeshi yao kenya?

Kwani al jazera imenyimwa kufungua stesheni huko
 
BBC america has a staff of 100, BBC Kenya hass a staff of 300....... infact, 50% of all BBC Africa journalists are based in Nairobi. BBC America largest revenue stream is production of Movies and Films, something that they outsource to hollywood .

----
Close to 300 of the 600 BBC journalists working across Africa are based in the new, state-of-the-art facility.
"Our most important investment will be in training the next generation of African reporters and producers to world-class standards," Francesca Unsworth, Director of BBC News, said.
The expansion is being funded by $376m (£289m) from the UK government.
The production facilities at the bureau include a TV studio and two further live broadcast positions, two radio studios, two radio workspaces and five TV edit suites.
BBC launches largest bureau outside UK
Show is the proof of 100 staff in BBC America. You are confusing BBC Studios which is the one dealing with content's and BBC America which is local pay preview channel and it shows everything else. BBC America owns 50% of BBC worldwide equivalent of CNN international.
 
Back
Top Bottom