Twende nao sawa tu mkuu mwishowe tutawaoa tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mimi napambana na komora096 ., lazima nimvimbishe tumbo yule mtoto...[emoji23][emoji23]
Heheheheheeee mpk hapa tulipofika ni 1% tu ya akili zetu ndio imetumika, je tukifika 2% c itakuwa balaa [emoji3][emoji3][emoji3]Na tukitumia 1.5% ya akili zetu bongo itakua tishio zaidi EA
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Naona nyaya za umeme hongereni jirani [emoji3][emoji3][emoji3]Kitu hicho
Na mm naziona. Itakua hiyo Ni train ya kuchargeNaona nyaya za umeme hongereni jirani [emoji3][emoji3][emoji3]
sometimes I think the president is tired of launching things, there was no mention of the trains starting operations only billboards in the CBD. No ceremony, nothing.Kitu hicho
two days ago i spotted it along muthurwa apo karibu na station yard yao..imagine its interior they did not alter it..its just same as they were imported and they look like below pics..unless apo mbeleni watu wa railways waibadilishe ..View attachment 1611418
This was spotted at mutindwa along outer ring road. In this configuration the train can carry 600 commuters seated and standing.
Currently the trains are undergoing tests on the track before full rollout.
Nairobi metropolitan services (nms) and KR (Kenya Railways) are currently cleaning up the railway corridor and have started putting up fences all along the corridor. Already they have started with the embakasi line, where fencing and beautification of the corridor is taking place.
Waibadilishe wapi, hii uliyoweka ni coaches za new car hyo yenu ni mtumba haiwezi kuwa mpya[emoji3][emoji3][emoji3]two days ago i spotted it along muthurwa apo karibu na station yard yao..imagine its interior they did not alter it..its just same as they were imported and they look like below pics..unless apo mbeleni watu wa railways waibadilishe ..View attachment 1611531
Angalia mpangilio wa seat za behewa la locomotive yetu ya mgr vile zinaonekana smart, juu ni kiyoyozi km kawa [emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]two days ago i spotted it along muthurwa apo karibu na station yard yao..imagine its interior they did not alter it..its just same as they were imported and they look like below pics..unless apo mbeleni watu wa railways waibadilishe ..View attachment 1611531
Hii ni metro service ama regular mgr train .. low iq hujui tofauti .Angalia mpangilio wa seat za behewa la locomotive yetu ya mgr vile zinaonekana smart, juu ni kiyoyozi km kawa [emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]View attachment 1611670
Kwn zile gari za mtumba mnazopeleka hko tz zipoje[emoji23][emoji23]Waibadilishe wapi, hii uliyoweka ni coaches za new car hyo yenu ni mtumba haiwezi kuwa mpya[emoji3][emoji3][emoji3]
I am loving it. Nairobi will be the only city after joburg to have over 100 km of commuter rail in sub saharan africa and in 5 years nairobi will have the largest network of commuter rail in africa (500 km).two days ago i spotted it along muthurwa apo karibu na station yard yao..imagine its interior they did not alter it..its just same as they were imported and they look like below pics..unless apo mbeleni watu wa railways waibadilishe ..View attachment 1611531
Watu wa third world transport (BRT) wakuje nairobi waone commuter rail, siyo kukimbizana na mabasi zimejaa kunguni.two days ago i spotted it along muthurwa apo karibu na station yard yao..imagine its interior they did not alter it..its just same as they were imported and they look like below pics..unless apo mbeleni watu wa railways waibadilishe ..View attachment 1611531
This reminds me so much of the interior of the dsb commuter trains in denmark.two days ago i spotted it along muthurwa apo karibu na station yard yao..imagine its interior they did not alter it..its just same as they were imported and they look like below pics..unless apo mbeleni watu wa railways waibadilishe ..View attachment 1611531
In future I foresee kenyans tagging along with their bikes on the train and using the new cycling lanes in CBD to move around like in utrecht. The new cycling lanes network will go very well with these new trains.two days ago i spotted it along muthurwa apo karibu na station yard yao..imagine its interior they did not alter it..its just same as they were imported and they look like below pics..unless apo mbeleni watu wa railways waibadilishe ..View attachment 1611531
yani hii imemalizwa mbele ya sgr yenyu ingawa ilianza baada ya sgr yenyu. na ni 200 km ndani ya nairobi metropolitan. Nyinyi BRT hata 100 km haijafika na hii ni 200 km phase 1 na inabeba watu wengi kushinda hizo basi zenyu zilizo jaa kunguni.Kwa kenya mradi kama huu 80% imeibiwa the rest ndio inaenda kwa kazi..kenya mnaiba jameni