Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

Do you have aquatic stadium in Tanzania?
Do you have an indoor Arena in Tanzania?
Wacha ufalamanga hyo mada tulishaimaliza na ukaoneshwa aquatic stadium na indoor arena labda ujifanye chizi.
 
Sijui mbona mnapingana na mtu kichaa. These are figures from trusted organizations in Tanzania and Kenya. JKIA 8.3m passengers and all Tanzanian airports are 5.5 m passengers. JNIA is 2.2m passengers.
View attachment 1614394View attachment 1614396
Hili ndilo tatizo mlilo nalo Wakenya huwa hamko km cc, tunapigana sindano wenyewe kwa wenyewe pale inapoonekana mmoja wetu anapotosha, ss km hapa unapotosha umma na Wakenya wenzako kina tonny hawakuambii, hv unataka kufananisha jnia na jkia kwa ukubwa? Hicho unachoongea ww ni idadi ya passengers wanaofika jkia annually na co capacity ya jkia, ukitaka kulinganisha jkia na jnia interms of capacity pita hapa fala wewe [emoji116][emoji116]
 
Wewe zuzu huoni hiyo ni teminal 1A , teminal 1A is new and has a capacity of 2.5 million . Kuna other terminals 1B,2a ,3 ... Lakini your low iq inathani jkia yote ni terminal 1A.
 
Wewe zuzu huoni hiyo ni teminal 1A , teminal 1A is new and has a capacity of 2.5 million . Kuna other terminals 1B,2a ,3 ... Lakini your low iq inathani jkia yote ni terminal 1A.
The best 007 is always a kilaza kama ichoboy01πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hasomi kwa maakini kile anacholetaπŸ˜‚πŸ˜‚ huwa wanajipiga risasi kwa mguu kirahisi sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‰ Tz is way below Kenya on average fala huwa anadhani eti wao kukua na kitu kenye hakiko Kenya puts them above but on average Tz is underdeveloped. Hawa wapatie facts, huwa inawatesa sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Speaking of ichoboy01 , alipata construction board ya Nairobi expressway.
Ama bado anadhani ujenzi unaoendelea ni mazingaombwe? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…