Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

Toyota Kenya showroom
images%20(53).jpg
 
Sijui mbona mnapingana na mtu kichaa. These are figures from trusted organizations in Tanzania and Kenya. JKIA 8.3m passengers and all Tanzanian airports are 5.5 m passengers. JNIA is 2.2m passengers.
View attachment 1614394View attachment 1614396
Hili ndilo tatizo mlilo nalo Wakenya huwa hamko km cc, tunapigana sindano wenyewe kwa wenyewe pale inapoonekana mmoja wetu anapotosha, ss km hapa unapotosha umma na Wakenya wenzako kina tonny hawakuambii, hv unataka kufananisha jnia na jkia kwa ukubwa? Hicho unachoongea ww ni idadi ya passengers wanaofika jkia annually na co capacity ya jkia, ukitaka kulinganisha jkia na jnia interms of capacity pita hapa fala wewe [emoji116][emoji116]
Screenshot_2020-10-27-23-44-14.jpeg
Screenshot_2020-10-27-23-43-38.jpeg
 
Hili ndilo tatizo mlilo nalo Wakenya huwa hamko km cc, tunapigana sindano wenyewe kwa wenyewe pale inapoonekana mmoja wetu anapotosha, ss km hapa unapotosha umma na Wakenya wenzako kina tonny hawakuambii, hv unataka kufananisha jnia na jkia kwa ukubwa? Hicho unachoongea ww ni idadi ya passengers wanaofika jkia annually na co capacity ya jkia, ukitaka kulinganisha jkia na jnia interms of capacity pita hapa fala wewe [emoji116][emoji116]View attachment 1615209View attachment 1615210
Wewe zuzu huoni hiyo ni teminal 1A , teminal 1A is new and has a capacity of 2.5 million . Kuna other terminals 1B,2a ,3 ... Lakini your low iq inathani jkia yote ni terminal 1A.
 
Wewe zuzu huoni hiyo ni teminal 1A , teminal 1A is new and has a capacity of 2.5 million . Kuna other terminals 1B,2a ,3 ... Lakini your low iq inathani jkia yote ni terminal 1A.
The best 007 is always a kilaza kama ichoboy01😂😂😂 hasomi kwa maakini kile anacholeta😂😂 huwa wanajipiga risasi kwa mguu kirahisi sana😂😂😂😉 Tz is way below Kenya on average fala huwa anadhani eti wao kukua na kitu kenye hakiko Kenya puts them above but on average Tz is underdeveloped. Hawa wapatie facts, huwa inawatesa sana😂😂😂
 
Speaking of ichoboy01 , alipata construction board ya Nairobi expressway.
Ama bado anadhani ujenzi unaoendelea ni mazingaombwe? 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom