The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Kweli tupo league tofauti, ona sisi plan yetu after that two years, na hyo hapo chini ndiyo mfano wake vile inakaa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]General Badi (On JK Live): We will soon have commuter trains in all directions of Nairobi metropolitan. In the next two years we plan to move 2.9 million commuters monthly. The commuter rail will be the backbone of transport in Nairobi all others will only support the commuter rail.
Wacha ujinga wako hilo ni jina tu mliamua kuita km mnavyoita treni yenu ya diesel Chinese first class je ni first class ile? Au mnavyoita ile road yenu super highway it is because of ur stupidity, uliona wapi Stadium ina jukwaa moja?I think your question on the international games it has hosted has been well answered by your country people.
Very sorry for making you feel inferior but I tried to show you that those are little things to us and we don't complicate at all gud night [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Sema tu hujui maana ya aquatic stadium ufundishwe. This one here is the only aquatic stadium in East and Central Africa with a capacity of 5,000 seats.
View attachment 1616233View attachment 1616234View attachment 1616236View attachment 1616237
Huyo The best 007 huwa hakubali kushindwa. Lazima yeye ndio ashinde kwa sababu anajiona yuko perfect. Nimemsoma kwa muda mrefu. Sijawahi kuona siku hata moja akikubali kwamba hakuwa anajua jambo fulani au kwamba amejifunza jambo fulani kutoka kwa Wakenya. La. Yeye likija kwenye debate, utamuekea hadi evidence kutoka world bank na atapinga tu. Sasa nimemuekea evidence kutoka bodi ya serikali na bado anapinga. Huyo na Naton Jr hakuna haja ya kudebate nao maana unapoteza muda wako tu. Huwa nikidebate na Geza Ulole au joto la jiwe angalau hao wanaweza kukubali kuwa hawakuwa wanafahamu jambo fulani halafu debate inaisha. Mimi pia huwa nakubali kama sikuwa najua jambo fulani halafu debate inaisha. Mimi sio genius kwa hivyo ikiwa sijui jambo fulani basi nakubali tu na debate inaisha. Lakini kupingana na mtu mwenye anajiona yuko right wakati wote ni majanga. Huwa ninaangalia ni watu gani ninadebate nao hapa maana wengine watanipotezea muda tu na hata baada ya kung'ang'ana kutafuta evidence mtandaoni bado watabaki kuamini wanachotaka. Hio ni kazi bure and time is precious. I only deal with the reasonable Tanzanians who can admit when they are wrong. But hao wazimu ambao hawaezi kubali kuwa wamekosea, hao sina haja nao. ichoboy01 pia yuko katika kundi hili la watu wasioweza kukubali kushindwa japo evidence ni ya world bank au halmashauri ya serikali.I think your question on the international games it has hosted has been well answered by your country people.
Tony wacha kufanya double standard and let me tell you ni kwamba huenda ww ndiye mkenya pekee kwenye hii forum ambaye huwa unakubali kushindwa, wengine wote ni shida km naongopa prove me wrong.Huyo The best 007 huwa hakubali kushindwa. Lazima yeye ndio ashinde kwa sababu anajiona yuko perfect. Nimemsoma kwa muda mrefu. Sijawahi kuona siku hata moja akikubali kwamba hakuwa anajua jambo fulani au kwamba amejifunza jambo fulani kutoka kwa Wakenya. La. Yeye likija kwenye debate, utamuekea hadi evidence kutoka world bank na atapinga tu. Sasa nimemuekea evidence kutoka bodi ya serikali na bado anapinga. Huyo na Naton Jr hakuna haja ya kudebate nao maana unapoteza muda wako tu. Huwa nikidebate na Geza Ulole au joto la jiwe angalau hao wanaweza kukubali kuwa hawakuwa wanafahamu jambo fulani halafu debate inaisha. Mimi pia huwa nakubali kama sikuwa najua jambo fulani halafu debate inaisha. Mimi sio genius kwa hivyo ikiwa sijui jambo fulani basi nakubali tu na debate inaisha. Lakini kupingana na mtu mwenye anajiona yuko right wakati wote ni majanga. Huwa ninaangalia ni watu gani ninadebate nao hapa maana wengine watanipotezea muda tu na hata baada ya kung'ang'ana kutafuta evidence mtandaoni bado watabaki kuamini wanachotaka. Hio ni kazi bure and time is precious. I only deal with the reasonable Tanzanians who can admit when they are wrong. But hao wazimu ambao hawaezi kubali kuwa wamekosea, hao sina haja nao. ichoboy01 pia yuko katika kundi hili la watu wasioweza kukubali kushindwa japo evidence ni ya world bank au halmashauri ya serikali.
This is child's play in comparison to Kasarani ComplexHiki hapa ni kijiji cha michezo yn michezo yote iko hapo, show me kijiji cha michezo huko kunako nchi kame yenye njaa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1616413View attachment 1616414
Very sorry for making you feel inferior but I tried to show you that those are little things to us and we don't complicate at all gud night [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1616854View attachment 1616856View attachment 1616858View attachment 1616859
Kweli tupo league tofauti, ona sisi plan yetu after that two years, na hyo hapo chini ndiyo mfano wake vile inakaa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1616833View attachment 1616834
Kwani ni uongo, Kenya tuko juu yenu kiuchumi, elimu, miundo mbinu na kadhalika. Nyinyi uchungu yenu najua i ya mababu zenu walioshindwa na Kenya.Tony wacha kufanya double standard and let me tell you ni kwamba huenda ww ndiye mkenya pekee kwenye hii forum ambaye huwa unakubali kushindwa, wengine wote ni shida km naongopa prove me wrong.
Sisi WaTz ndio huwa tunakubali kushindwa cz kusifia kitu cha mwenzio hyo pia ni moja kati ya fair debate lkn ukiacha ww pengine kdg na mwaswast ndiyo huwa angalau mnakubali yale mazuri ya Tz, Tony254 mm nimesifia mara nyingi mambo ya kenya km unabisha nikuletee ushahidi hapa but Wakenya wenzako huwa hawapendi kukubali kabisa.
Mm wkt mwngne huwa nawakwaza WaTz wenzangu kwa kusema ukweli pale ninapoona kitu fulani hakipo sawa kuhusu Tz km huamini jaribu kupitia posts zangu ila Wakenya wenzako wote ( except you and mwaswast) wamekuwa ni watu ambao hawako fair na imefika kipindi mpk wako radhi kuongopa na kupotosha mradi tu wa win the battle na mfano halisi ni hapo juu Teargass ameongopa capacity ya swimming pool yenu ili mradi ionekane mmetuzd.
Hili jambo la kutokuwa fair kwenye battle ndiyo tabia ya Wakenya wote nenda kwenye platforms zengine ukiacha Jf ni hvyo hvyo yn imekuwa ndiyo tabia ya Wakenya cku zote kujiona wao wako juu kwa kila kitu, ni tabia mby sn hii, ss na cc tumeamua twende vile nyie mnataka.
Nimekwambia hicho ni kijiji cha michezo, unaweza kuona hapo viwanja vikubwa vikubwa vipo pamoja hapo yn kila mchezo unaweza kuchezwa na ikafanywa mashindano ya kimataifa na nchi zote zikakutana hapo, ss wewe unanitajia uwanja mmoja tena wa kizamani are you serious?This is child's play in comparison to Kasarani Complex
Achana na huyo wazimu hakuna nchi east and central Africa inafikia Kenya in developmenti)HAHAHA, yani your top swimming pool hapo Tanzania,intaoshana na ya shule hapa Kenya. Alafu haina diving board mpaka wanaandika "No Diving" ata afadhali ya mashule hapa Kenya ziko na diving boards.
ii) Jamaa unapenda kuiba picha za nchi zingine. sasa unaleta specification ya arema standard ambayo ni inferior kwa kenya sgr , alafu unaweka picha ya commuter rail ya nchi ingine (amabayo hamna wenyewe).
Naona kweli unasumbuka.
i) Hapa sisi tuko na 12 lane road ya 40 km, nyinyi 8 lane 19 km imewashinda imekwama kutoka 2017.
ii) Hapa tuko na sgr inayofanya kazi (700 km). Nyinyi bado hata phase 1 (200 km) imekwama na imechelewa kwa mwaka moja na nusu, treni hamna, stesheni ambazo kiukweli ni mabanda ya ngombe kwa ukubwa hazijakamilika, mturuki huyo alitoa onyo kuwa amefilishiwa na hiyo mradi yenyu kwa kuwa hamjalipa.
iii) Hapa tuko na commuter rail ya kisasa (200 km), nyinyi bado mnakimbiza na basi ziizojaa kunguni.
iv) Tunajenga elevated high way ya 8 lanes ya 27 km, nyinyi kitu kama hiyo hamjawahi ona na 19 km ya barabara ya kawaida imewashinda kumaliza.
v) Tumepanua mombasa port sahi ni kubwa kushinda vibandari vyenu vyote hata mkiviunganisha.
vi) Tushamaliza berth za kwanza tatu na container depots za Lamu port (1.5 million teus), nyinyi bagamoyo ilizikwa kwa sanduku la sahau.
HAHAHAHA, Kweli tuko league moja! Nyinyi mpigane na Uganda na Rwanda, Kenya iko league tofauti si ya LDC. Tumeshawacha angola sasa tunafata morocco. Nyinyi, nchi ndogo kama Ghana imewakalia na iko na maendeleo kuwashinda.
Naona hapo Tanzania ni Kazi tu! Kazi ya kuota ndoto za amezidi.
Ulitaka any international game yenye ishaifanyika hapo nikakuonyesha sasa mbona unalia tena? Nakuambia Tanzania haitawaikuwa na Aquatic stadium hadi dunia iishe and that you can take to the bank.Wacha ujinga wako hilo ni jina tu mliamua kuita km mnavyoita treni yenu ya diesel Chinese first class je ni first class ile? Au mnavyoita ile road yenu super highway it is because of ur stupidity, uliona wapi Stadium ina jukwaa moja?
Wewe jamaa unajiaibisha sana, sasa leo unalazimisha swimming pool to be called Aquatic stadium? π€£ π€£ π€£Very sorry for making you feel inferior but I tried to show you that those are little things to us and we don't complicate at all gud night [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1616854View attachment 1616856View attachment 1616858View attachment 1616859
Uko na ujinga sana, where are the diving platforms? Where are the springboards? That pool is not even up to Olympic standards.Very sorry for making you feel inferior but I tried to show you that those are little things to us and we don't complicate at all gud night [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1616854View attachment 1616856View attachment 1616858View attachment 1616859
Nchi yoyote hapa duniani kama haina electric railways hyo nchi bado ipo 1960s najua mnaumia ila ndo ukweli wenyewe huo so instead of yapping u have to fight so as to reach where we are.Achana na huyo wazimu hakuna nchi east and central Africa inafikia Kenya in development
Wewe mwenye hadi anaiba picha za nchi zingine mshindane na Kenya pia unaongeaπ€£π€£. Alafu kwenye hili mambo la Aquatic Stadium kubali tu kuwa hamna hiyo facility, same to indoor Arena.Tony wacha kufanya double standard and let me tell you ni kwamba huenda ww ndiye mkenya pekee kwenye hii forum ambaye huwa unakubali kushindwa, wengine wote ni shida km naongopa prove me wrong.
Sisi WaTz ndio huwa tunakubali kushindwa cz kusifia kitu cha mwenzio hyo pia ni moja kati ya fair debate lkn ukiacha ww pengine kdg na mwaswast ndiyo huwa angalau mnakubali yale mazuri ya Tz, Tony254 mm nimesifia mara nyingi mambo ya kenya km unabisha nikuletee ushahidi hapa but Wakenya wenzako huwa hawapendi kukubali kabisa.
Mm wkt mwngne huwa nawakwaza WaTz wenzangu kwa kusema ukweli pale ninapoona kitu fulani hakipo sawa kuhusu Tz km huamini jaribu kupitia posts zangu ila Wakenya wenzako wote ( except you and mwaswast) wamekuwa ni watu ambao hawako fair na imefika kipindi mpk wako radhi kuongopa na kupotosha mradi tu wa win the battle na mfano halisi ni hapo juu Teargass ameongopa capacity ya swimming pool yenu ili mradi ionekane mmetuzd.
Hili jambo la kutokuwa fair kwenye battle ndiyo tabia ya Wakenya wote nenda kwenye platforms zengine ukiacha Jf ni hvyo hvyo yn imekuwa ndiyo tabia ya Wakenya cku zote kujiona wao wako juu kwa kila kitu, ni tabia mby sn hii, ss na cc tumeamua twende vile nyie mnataka.
Hiyo ndiyo shida yenu mkiomba kitu tuwaoneshe from Tanzania mnakataa eti mnataka kiwe na jina km la kitu chenu ila cc tukiwaomba muoneshe kitu ambacho cc tunacho ila kwenu hakipo huwa mnakosa hata render, and that is the difference [emoji3][emoji3][emoji3]Wewe mwenye hadi anaiba picha za nchi zingine mshindane na Kenya pia unaongea[emoji1787][emoji1787]. Alafu kwenye hili mambo la Aquatic Stadium kubali tu kuwa hamna hiyo facility, same to indoor Arena.
Nataka tukubaliane kuanza. Umekubali kuwa hamna Aquatic Stadium? Kama mnayo ebu taja jinake na tournaments ishaihost.Hiyo ndiyo shida yenu mkiomba kitu tuwaoneshe from Tanzania mnakataa eti mnataka kiwe na jina km la kitu chenu ila cc tukiwaomba muoneshe kitu ambacho cc tunacho ila kwenu hakipo huwa mnakosa hata render, and that is the difference [emoji3][emoji3][emoji3]
Bwege Sana ππππππ ebu nionyeshe electric train ya TanzaniaNchi yoyote hapa duniani kama haina electric railways hyo nchi bado ipo 1960s najua mnaumia ila ndo ukweli wenyewe huo so instead of yapping u have to fight so as to reach where we are.
Akikuonyesha unitag.Bwege Sana ππππππ ebu nionyeshe electric train ya Tanzania
Mwende mushindane na drc, Uganda c Kenya
Wapi nimesema electric train, hyo nitasema muda c mrefu kuanzia sasa na hutokuwa na jibu ambavyo umeshindwa kuwa na jibu la electric railways [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Bwege Sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu nionyeshe electric train ya Tanzania
Mwende mushindane na drc, Uganda c Kenya