Tony wacha kufanya double standard and let me tell you ni kwamba huenda ww ndiye mkenya pekee kwenye hii forum ambaye huwa unakubali kushindwa, wengine wote ni shida km naongopa prove me wrong.
Sisi WaTz ndio huwa tunakubali kushindwa cz kusifia kitu cha mwenzio hyo pia ni moja kati ya fair debate lkn ukiacha ww pengine kdg na
mwaswast ndiyo huwa angalau mnakubali yale mazuri ya Tz,
Tony254 mm nimesifia mara nyingi mambo ya kenya km unabisha nikuletee ushahidi hapa but Wakenya wenzako huwa hawapendi kukubali kabisa.
Mm wkt mwngne huwa nawakwaza WaTz wenzangu kwa kusema ukweli pale ninapoona kitu fulani hakipo sawa kuhusu Tz km huamini jaribu kupitia posts zangu ila Wakenya wenzako wote ( except you and mwaswast) wamekuwa ni watu ambao hawako fair na imefika kipindi mpk wako radhi kuongopa na kupotosha mradi tu wa win the battle na mfano halisi ni hapo juu
Teargass ameongopa capacity ya swimming pool yenu ili mradi ionekane mmetuzd.
Hili jambo la kutokuwa fair kwenye battle ndiyo tabia ya Wakenya wote nenda kwenye platforms zengine ukiacha Jf ni hvyo hvyo yn imekuwa ndiyo tabia ya Wakenya cku zote kujiona wao wako juu kwa kila kitu, ni tabia mby sn hii, ss na cc tumeamua twende vile nyie mnataka.