The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Huwa hawapendi ukweli sijui wamesoma shule gn hawa watu, sisi ndiyo tulianza kuwa juu enzi za Mwl. Nyerere lkn wakatupita na tukakubali ss leo tumerudi kwenye namba yetu wanabwata wanajifanya hawajui kwmb namba huwa zinabadilika so ukilala mwenzio anakupita.Ruka kokote uwezapo lakini ngoma bado imelalia hapa bro [emoji28][emoji28][emoji28]
Huchomoki kwenye hii blowing fact kwamba umeme ni Nairobi tu
View attachment 1617568
Weka video. Wacha kuzuga. Huku tunadeal na evidence tu. Sio vimaneno vimaneno.Hawa waluga luga wa wapi??? mbona zipo tokea Kikwete ni rais, zinaitwa treni za Mwakyembe, ziko mda mrefu sana
Mbona world bank walisema nyie ni middle income na tukakubali? Sisi huwa tunakubali ikiwa taarifa inatoka world bank ila nyie huwa mnapinga taarifa ya world bank. Waziri wenu anawadanganya kuwa nyie mna highest electrification rate in Africa halafu mimi nawaekea report ya world bank inayoonyesha kuwa Seychelles ndio ina highest electrification rate halafu wengine wenu mnakuja kupinga taarifa ya world bank. Sasa tuwachukulie vipi ikiwa hii ndio tabia yenu? ichoboy01 wewe ndio ulikuwa unapinga taarifa ya world bank kwa kuniwekea matamshi ya waziri wenu. Badilikeni jameni kama mnataka mjadala wa heshima na wa kujifunza. Isiwe tu ni competition ya kipuuzi bali iwe kwamba sote tunakuja hapa kupata darasa.Huwa hawapendi ukweli sijui wamesoma shule gn hawa watu, sisi ndiyo tulianza kuwa juu enzi za Mwl. Nyerere lkn wakatupita na tukakubali ss leo tumerudi kwenye namba yetu wanabwata wanajifanya hawajui kwmb namba huwa zinabadilika so ukilala mwenzio anakupita.
Mm cna wasi wasi kabisa cz baada ya miaka 3 kuanzia sasa kila kitu kitakuwa open na hawatakuwa na la kuongea.
Karibu nidhani wewe ni Mtanzania. Hicho kiswahili kiko sawa.we jamaa una kichaa.sio bure
At three million commuters monthly it will be twice the current traffic. I also heard the head of NAMATA saying that once all plans are complete there will be a penalty (of course it means higher taxes or parking fees) for those who will want to still bring their private cars into the CBD.
Kwani report ya nchi husika hao world bank huwa wanazitoa wapi? Nijibu hili swali tafadhali.Mbona world bank walisema nyie ni middle income na tukakubali? Sisi huwa tunakubali ikiwa taarifa inatoka world bank ila nyie huwa mnapinga taarifa ya world bank. Waziri wenu anawadanganya kuwa nyie mna highest electrification rate in Africa halafu mimi nawaekea report ya world bank inayoonyesha kuwa Seychelles ndio ina highest electrification rate halafu wengine wenu mnakuja kupinga taarifa ya world bank. Sasa tuwachukulie vipi ikiwa hii ndio tabia yenu? ichoboy01 wewe ndio ulikuwa unapinga taarifa ya world bank kwa kuniwekea matamshi ya waziri wenu. Badilikeni jameni kama mnataka mjadala wa heshima na wa kujifunza. Isiwe tu ni competition ya kipuuzi bali iwe kwamba sote tunakuja hapa kupata darasa.
Kwani Nairobi ina watu wangapi?At three million commuters monthly it will be twice the current traffic. I also heard the head of NAMATA saying that once all plans are complete there will be a penalty (of course it means higher taxes or parking fees) for those who will want to still bring their private cars into the CBD.
Hahah[emoji38][emoji16] anyways jina lako karibu lifanane na yule waziri wenyu mchapakazi kichwa marehemu Augustine Mahiga,aliyebobea kidiplomasiaHapo Kenyata ashawapiga pesa ya kutosha
Weye bwege picha la swimming pool ya hoteli hapo Dar slum unatubandikia humu hahahh.Alafu kiukweli kabisa yetu ni kubwa kuliko yenu mana yetu ina jukwaa mbili nyie yenu ina jukwaa moja [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1616255
Wanatoa data kutoka nchi husika ila wanaweza kubadilisha hizo figures ikiwa hawakubaliani nazo kwa sababu wao wana njia zao za kutabiri na kucalculate hizo figures.Kwani report ya nchi husika hao world bank huwa wanazitoa wapi? Nijibu hili swali tafadhali.
Light rail is the way to go. Pole pole tu hata sisi tutafika. Kwanza ile laini ya JKIA to CBD ikikamilika.
So, tegemea hicho anachosema waziri ndicho kitakacho wekwa kwenye website ya WB watakapotoa report mpya.Wanatoa data kutoka nchi husika ila wanaweza kubadilisha hizo figures ikiwa hawakubaliani nazo kwa sababu wao wana njia zao za kutabiri na kucalculate hizo figures.
Waziri wenu anasema electrification rate yenu iko chini ya 80%. 76% au 78%, nimesahau the actual figure. World bank wanasema kuwa Seychelles wana 100% electrification rate. Waziri wenu anawadanganya kuwa hio 78% ndio namba moja Africa na kuwa Nigeria ni ya pili. Halafu nyinyi bila kuhoji data ya waziri wenu mnakubali tu kiuzembe zembe. Halafu mnaanza kusema kuwa TZ ndio nchi ya kwanza Africa kwenye electrification rate. Hata tukichukua hio 78% bado haifikii 100% ya Seychelles. Mbona msikubali waziri wenu alikuwa na makosa? Ama nyie ni waoga?So, tegemea hicho anachosema waziri ndicho kitakacho wekwa kwenye website ya WB watakapotoa report mpya.
Soma vzr ni rural electrification, pia nambie hyo 100% ya Seychelles ni mpk rural au?Waziri wenu anasema electrification rate yenu iko chini ya 80%. 76% au 78%, nimesahau the actual figure. World bank wanasema kuwa Seychelles wana 100% electrification rate. Waziri wenu anawadanganya kuwa hio 78% ndio namba moja Africa na kuwa Nigeria ni ya pili. Halafu nyinyi bila kuhoji data ya waziri wenu mnakubali tu kiuzembe zembe. Halafu mnaanza kusema kuwa TZ ndio nchi ya kwanza Africa kwenye electrification rate. Hata tukichukua hio 78% bado haifikii 100% ya Seychelles. Mbona msikubali waziri wenu alikuwa na makosa? Ama nyie ni waoga?
Hio 100% ya Seychelles ni nchi nzima rural na urban. Unajua Seychelles ni kisiwa kidogo cha watu milioni moja. Kufungia kila nyumba umeme ni kazi kidogo sana. Sasa wao walishagawia kila nyumba umeme zamani sana. Kisiwa kingine ni Mauritius ambayo pia ina watu takriban milioni moja na wao wana electrification rate ya 97.5%. Halafu hizi visiwa viwili ndio nchi zilizoendelea sana Africa kwa sababu hizi ndio nchi pekee ambazo World Bank wameziclassify kama "high income" countries. Yaani wako katika kundi moja na USA na Germany na UK. Yaani kwa lugha ya mtaani hivi visiwa viwili ni first world although world bank wanatumia neno "high income." Sasa nyie hata nikiwapea 90% electrification rate kwa nchi nzima ( urban na rural) bado hamtafikia Mauritius na Seychelles. Nyie nchi kubwa ya watu milioni 60 mtaweza kugawia kila mtu umeme mbele ya kisiwa kidogo cha watu milioni moja? Mbona huwa hamuwezi kufikiria, kazi yenu ni kurudia maneno ya waziri wenu? Waziri wenu alikosea kusema kuwa Tanzania ndio ina highest electrification rate in Africa. Kubali yaishe. Wengi wenu hamjui kukubali ikiwa jambo fulani ni ukweli kama itakinzana na matamshi ya Wanasiasa wenu. Wanasiasa wenu ni kama mungu, wakisema kitu lazima iwe ukweli na hamuwezi kuihoji kwa undani ili kubaini kama ni ukweli. Badilikeni.Soma vzr ni rural electrification, pia nambie hyo 100% ya Seychelles ni mpk rural au?
Do your comparisonNimekwambia hicho ni kijiji cha michezo, unaweza kuona hapo viwanja vikubwa vikubwa vipo pamoja hapo yn kila mchezo unaweza kuchezwa na ikafanywa mashindano ya kimataifa na nchi zote zikakutana hapo, ss wewe unanitajia uwanja mmoja tena wa kizamani are you serious?
Hivi hata usafi wa hiki kichwa cha treni mpaka Mchina aje ama? 🤣 ☝️
can u check again if ur electric buses will have overhead transmission line cause the technology is a outdated for buses!He said the plan is under review. Wacha itoke tutaona.
Hivi hata usafi wa hiki kichwa cha treni mpaka Mchina aje ama? 🤣 ☝️