babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Kuna mkenya alimuambia mgeni wake eti "usizungumze kiswahili na watoto wangu watachanganyikiwa"Elimu haijawahi kumsaidia mkenya never ever [emoji3][emoji3][emoji3]
Hili wamekula hasara buda labda mji uhamie sana side ya Nzuguni.Hili hapa ndiyo linaitwa Ndugai Modern market yn ndani linakaa airport, najua bado mnashangaa shangaa, ss hii kwetu ni kitu kidogo na wala hatujali bado tunajenga mengi mengine [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1623031View attachment 1623032
Jenga lako zuri.Hili wamekula hasara buda labda mji uhamie sana side ya Nzuguni.
Kwanza bayaa
Japo huna ushahidi lkn cna haja ya kukuomba ushahidi cz hzo walijenga wakoloni achana nazo, tuongelee zile ambazo tunajenga kwa nguvu zetu wacha mambo ya wakoloni yashapita hujajenga ww hyo [emoji3][emoji3][emoji3]Kumbe MGR ya Kenya ni ndefu kushinda ya Tanzania, ingawa Tanzania ni kubwa kushinda Kenya. MGR ya kenya ni 2778 km na ya Tanzania ni 2600 km.
Tunajenga electric sgr zaidi ya km 2500 we bado upo na mgr ya mkoloni iliyosafirisha mali zako na kupeleka kujenga ulaya hv una akili ww? Na unajisifu kabisa, mbn elimu haiwezi kukomboa mkenya jameni [emoji3][emoji3][emoji3]Kumbe MGR ya Kenya ni ndefu kushinda ya Tanzania, ingawa Tanzania ni kubwa kushinda Kenya. MGR ya kenya ni 2778 km na ya Tanzania ni 2600 km.
Umeruka kuenda kwa soko sasa baada ya kuona hamna superhighway, hamna commuter rail. sawa acha tuende, hii soko ni ya upuzi, Kenya imejenga masoko zaidi ya 20. Ndogo kabisa inabeba wachuuzi 1,200.Hili wamekula hasara buda labda mji uhamie sana side ya Nzuguni.
Kwanza bayaa
Hapo huoni ni Zambia ilisema muache kutumia reli ya TAZARA kama commuter rail mwaka 2013 ama pia kizungu ni ngumu kwako kuelewa? Kwa ukaidi mnaendelea kutumia treni ya TAZARA kama Commuter na 25km track ya TAZARA. Mwanaume jua tunawajua vizuri. Nyinyi hamna kitu.Kitu usichojua ni bora kukaa kimya tu, aliyekuambia commuter rail yetu inatumia rail ya Tazara only ni nani?
Km unataka ligi ya masoko fungulia uzi af tualike tuje tukufundishe kitu ambayo hamfundishwi shule [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Umeruka kuenda kwa soko sasa baada ya kuona hamna superhighway, hamna commuter rail. sawa acha tuende, hii soko ni ya upuzi, Kenya imejenga masoko zaidi ya 20. Ndogo kabisa inabeba wachuuzi 1,200.
Hapo huoni ni Zambia ilisema muache kutumia reli ya TAZARA kama commuter rail mwaka 2013 ama pia kizungu ni ngumu kwako kuelewa? Kwa ukaidi mnaendelea kutumia treni ya TAZARA kama Commuter na 25km track ya TAZARA. Mwanaume jua tunawajua vizuri. Nyinyi hamna kitu.
Kazi ni kupiga mdomo, huku kila kitu imekwama. Rufiji imekwama, sgr imekwama, commuter rail hakuna, brt phase 2 ime kwama, dual carriage ya 19 km ni miaka tatu sasa kama imekwama.
HAHAHA, hakuna kitu hapo unaongea kuhusu ndoto za abunuasi. Ikiwa 200 km ya kwanza imewashinda mwaka mmoja na nusu baadaye bado mnalia mamba zimekalia wanakandarasi wasiendelee na kazi, ukweli ni kwamba hakuna pesa. Mturuki alisema mwenyewe hiyo mradi yenyu imemfilisisha kwa kuokosa kulipwa.Tunajenga electric sgr zaidi ya km 2500 we bado upo na mgr ya mkoloni iliyosafirisha mali zako na kupeleka kujenga ulaya hv una akili ww? Na unajisifu kabisa, mbn elimu haiwezi kukomboa mkenya jameni [emoji3][emoji3][emoji3]
Kuna uzi ya masoko tayari niliyofungua kitambo, itafute hapo uone soko zenye GOK inajenga sio hizo vibanda za mbuzi mmnaita soko.Km unataka ligi ya masoko fungulia uzi af tualike tuje tukufundishe kitu ambayo hamfundishwi shule [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mzee hatutanii bali tuko serious, msidhani eti ni km300 tu za Dar -Moro hapana bali ni zaidi ya km2500, hii hapa chini progress ya last month km sikosei, ni from Morogoro to Dodoma na nadhani kwa ss watakuwa mbali zaidi [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]HAHAHA, hakuna kitu hapo unaongea kuhusu ndoto za abunuasi. Ikiwa 200 km ya kwanza imewashinda mwaka mmoja na nusu baadaye bado mnalia mamba zimekalia wanakandarasi wasiendelee na kazi, ukweli ni kwamba hakuna pesa. Mturuki alisema mwenyewe hiyo mradi yenyu imemfilisisha kwa kuokosa kulipwa.
Kazi ya mturuki sasa imekuwa kubandika na kutoa vioo hapo dar sgr station ambayo haijakamilika ingawa ilianza miaka 2 iliyopita.
Weka link nije nikufundishe kitu, we unadhani soko linajengwa kiholela tu[emoji3][emoji3][emoji3]Kuna uzi ya masoko tayari niliyofungua kitambo, itafute hapo uone soko zenye GOK inajenga sio hizo vibanda za mbuzi mmnaita soko.
Alafu kumbuka pia, mabeberu mlio omba mkopo ya $1.4 billion, wanaogopa kuwapa hio mkopo baada ya nyinyi kulia msamehewe madeni mlio omba mbeleni.Km unataka ligi ya masoko fungulia uzi af tualike tuje tukufundishe kitu ambayo hamfundishwi shule [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mbn unachanganya habari, don't panic twende taratibu. Haya niambie mkopo gn huo.Alafu kumbuka pia, mabeberu mlio omba mkopo ya $1.4 billion, wanaogopa kuwapa hio mkopo baada ya nyinyi kulia msamehewe madeni mlio omba mbeleni.
Phase 1 mliosema itaisha june 2019 imeisha? Wacha ujinga ya kitanzania hapa, tunajua sahi mmeanza kubomoa madaraja ya sgr. Hapo Tz kazi ni ya kuosha kuku miguu.Mzee hatutanii bali tuko serious, msidhani eti ni km300 tu za Dar -Moro hapana bali ni zaidi ya km2500, hii hapa chini progress ya last month km sikosei, ni from Morogoro to Dodoma na nadhani kwa ss watakuwa mbali zaidi [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
Jamaa kumbe hujui nchi yako? Wewe ndio umeleta sgr kwa commuter rail ya nairobi. Hii deni kutoka mwaka jana bado mzungu anahofu kuwa hamtaweza kumlipa na ujue ni commercial loan.Mbn unachanganya habari, don't panic twende taratibu. Haya niambie mkopo gn huo.
Ss unalia nn, hyo video nimekuwekea ni progress ya moro-dodoma yn tunajenga tu, hatujali Dar-Moro imefikia wapi we don't care as long as fund is not the case.Phase 1 mliosema itaisha june 2019 imeisha? Wacha ujinga ya kitanzania hapa, tunajua sahi mmeanza kubomoa madaraja ya sgr. Hapo Tz kazi ni ya kuosha kuku miguu.
Hiyo video imekuwa ikiwekwa kutoka mwaka jana wacha ushenzi wa kisukuma. Hata mturuki amebaki akirudia ku upload video za kitambo kwa youtube.Ss unalia nn, hyo video nimekuwekea ni progress ya moro-dodoma yn tunajenga tu, hatujali Dar-Moro imefikia wapi we don't care as long as fund is not the case.
99% ya wakenya wanazungumza kiswahili.Kuna mkenya alimuambia mgeni wake eti "usizungumze kiswahili na watoto wangu watachanganyikiwa"
Hiyo ndio elimu yao [emoji23][emoji23][emoji23]
Umeona ss umepewa evidence baada ufungue unabwata na ndiyo maana tunasema elimu haijawahi kumsaidia mkenya, haya nimekufungulia hyo video af niambie ya mwaka gn[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Hiyo video imekuwa ikiwekwa kutoka mwaka jana wacha ushenzi wa kisukuma. Hata mturuki amebaki akirudia ku upload video za kitambo kwa youtube.