Umeruka kuenda kwa soko sasa baada ya kuona hamna superhighway, hamna commuter rail. sawa acha tuende, hii soko ni ya upuzi, Kenya imejenga masoko zaidi ya 20. Ndogo kabisa inabeba wachuuzi 1,200.
Hapo huoni ni Zambia ilisema muache kutumia reli ya TAZARA kama commuter rail mwaka 2013 ama pia kizungu ni ngumu kwako kuelewa? Kwa ukaidi mnaendelea kutumia treni ya TAZARA kama Commuter na 25km track ya TAZARA. Mwanaume jua tunawajua vizuri. Nyinyi hamna kitu.
Kazi ni kupiga mdomo, huku kila kitu imekwama. Rufiji imekwama, sgr imekwama, commuter rail hakuna, brt phase 2 ime kwama, dual carriage ya 19 km ni miaka tatu sasa kama imekwama.