Kevin85ify
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 2,684
- 3,429
- Thread starter
-
- #761
Hakuna evidence hapo kazi ni kurudia video za kitambo, huku mabeberu wamekataa hawatoi pesa kwa kuwa mko na tabia mbaya ya kuomba mkopo na kutolipa.Umeona ss umepewa evidence baada ufungue unabwata na ndiyo maana tunasema elimu haijawahi kumsaidia mkenya, haya nimekufungulia hyo video af niambie ya mwaka gn[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1624207
We na Wakenya wenzako ni wajinga sana mnajifariji ujinga, ile video nimekupa ni moro-dodoma but tayari tenda Mwanza-Isaka tayari sikia hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Hakuna evidence hapo kazi ni kurudia video za kitambo, huku mabeberu wamekataa hawatoi pesa kwa kuwa mko na tabia mbaya ya kuomba mkopo na kutolipa.
Ona ndani ya commuter rail sio hizo treni za TAZARA ambazo hata dirisha haina, na viti za plastiki ya Kenpoly kwenye basi.Umeona ss umepewa evidence baada ufungue unabwata na ndiyo maana tunasema elimu haijawahi kumsaidia mkenya, haya nimekufungulia hyo video af niambie ya mwaka gn[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1624207
HAHAHAHA, hiyo ni kelele na porojo za CCM. Ukweli mabeberu wamewanyima pesa kwa kuwa mko na tabia mbaya ya kutoroka madeni. Wapi treni inayofanya kazi? Wapi train station inayofanya kazi? Wacha kelele za kimama hapa kutupa propaganda ya CCM ukifikiria watu hawajui.We na Wakenya wenzako ni wajinga sana mnajifariji ujinga, ile video nimekupa ni moro-dodoma but tayari tenda Mwanza-Isaka tayari sikia hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
Ushatii, msifosi tufanane cc tunajenga electric sgr yny zaidi ya km2500 mnataka tufanane [emoji3][emoji3][emoji3]HAHAHAHA, hiyo ni kelele na porojo za CCM. Ukweli mabeberu wamewanyima pesa kwa kuwa mko na tabia mbaya ya kutoroka madeni. Wapi treni inayofanya kazi? Wapi train station inayofanya kazi? Wacha kelele za kimama hapa kutupa propaganda ya CCM ukifikiria watu hawajui.
Tunajenga, tunajenga. Miaka 4 imepita bado tunajenga tunajenga! HAHAHA, hii tuna..., tuna... mtamaliza lini?Ushatii, msifosi tufanane cc tunajenga electric sgr yny zaidi ya km2500 mnataka tufanane [emoji3][emoji3][emoji3]
Kipande ya Dar imekuwa iko karibu kuisha kutoka mwaka jana waziri na TRL wakisema iko 70% complete. Mpaka sahi bado iko 70%, wallahi tena watanzania ni wajinga. Yani chama moja inawabeba akili kama mbuzi.Angalia hii video, naomba Wakenya wotee kwenye huu uzi muangalie hii maneno kwmb wkt kipande cha kutoka Dar-Moro kikiwa karibu na kuisha, tayari kipande cha kutoka Morogoro-dodoma kinaendelea zen wkt huo huo tenda ya kipande cha kutoka Mwanza-Isaka ishatangazwa, sikieni wenyewe hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
Wallahi since 2016 imekua the same song tuta tuli,tuna,😂😂😂Yaani ufala yenye hawa watu ubebwa only God knows.Kenya hatuwezi bebwa ufala iviKipande ya Dar imekuwa iko karibu kuisha kutoka mwaka jana waziri na TRL wakisema iko 70% complete. Mpaka sahi bado iko 70%, wallahi tena watanzania ni wajinga. Yani chama moja inawabeba akili kama mbuzi.
Hata baada ya kuhairisha mara 8 mwanzo wa matumizi ya phase 1, bado mwaka huu mlisema april 2020 itakuwa imeisha, na sasa tuko November 2020 bado haijakamilika na tarehe ya kuisha phase1 haijulikani.
Tanzania?s standard gauge railway (SGR) to undergo formal testing
Tanzania’s standard gauge railway (SGR) is set to undergo its first formal testing. The test will be conducted in May after completion of the first phase.constructionreviewonline.com
Hawa watu na ujinga yao, magu anawabeba makodofia.Wallahi since 2016 imekua the same song tuta tuli,tuna,😂😂😂Yaani ufala yenye hawa watu ubebwa only God knows.Kenya hatuwezi bebwa ufala ivi
Kipande ya Dar imekuwa iko karibu kuisha kutoka mwaka jana waziri na TRL wakisema iko 70% complete. Mpaka sahi bado iko 70%, wallahi tena watanzania ni wajinga. Yani chama moja inawabeba akili kama mbuzi.
Hata baada ya kuhairisha mara 8 mwanzo wa matumizi ya phase 1, bado mwaka huu mlisema april 2020 itakuwa imeisha, na sasa tuko November 2020 bado haijakamilika na tarehe ya kuisha phase1 haijulikani.
Tanzania?s standard gauge railway (SGR) to undergo formal testing
Tanzania’s standard gauge railway (SGR) is set to undergo its first formal testing. The test will be conducted in May after completion of the first phase.constructionreviewonline.com
Wallahi since 2016 imekua the same song tuta tuli,tuna,[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani ufala yenye hawa watu ubebwa only God knows.Kenya hatuwezi bebwa ufala ivi
Msiwe na haraka treni ya kwanza ya umeme EA itafanya safari zake kutoka Dar kwenda Morogoro soon next year, unajua cc huwa hatupendi ubabaishaji, hzo EMUs zinatoka Korea ni brand new Safi kabisa mtaziona kuweni na subira tu [emoji3][emoji3][emoji3]Hawa watu na ujinga yao, magu anawabeba makodofia.
Hiyo mmeimba kutoka 2018. Vitu zimekwama!!!Ninaposema mwakani msizani umebaki mwaka km mwaka la hasha ni miezi michache tu imebaki vyombo viingie bandari ya salama [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
HAHAHA, miezi? Imebaki mwezi moja na siku 19 ifike 2021. Kweli nyinyi mnapangwa kama mihogo kwa crate na CCM.Ninaposema mwakani msizani umebaki mwaka km mwaka la hasha ni miezi michache tu imebaki vyombo viingie bandari ya salama [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Vitu mingi mara moja kweli umeshindwa kujitetea? Kenya tunajenga expressway mbili, tunapanua port ya mombasa iwe ya pili bara afrika, tunajenga bara bara upande zote ya kenya, bado tumemamaliza commuter rail kwa muda unaofaa. Bado tuko karibu kumaliza cycling na pedestrian lanes kwa miji yote tatu ya Nairobi, mombasa na kisumu, tunajenga mji nzima kutoka kwa ground(Konza), tunasambaza stima sahi imefikia 85% ya wakenya, Hospitali 24 zimepanuliwa kwa kila pembe ya taifa, na zingine 24 zinajengwa sahi kwa slums, tuko na mabwawa 6 tunajenga na ziko karibu kukamilika tunavyozungumza.Tunafanya mambo mengi kwa wakati mmoja ndo mana mnaona tuko slow cz hzo EMUs hazitaachana sn zile ndege zetu mpya za abiria na moja ya mizigo so msiwe na haraka mwakani jibu mtalipata [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nyie mnapanua bandari cc tushapanua yetu na tunajenga nyingine mpya kule Kigoma, mtwara, tanga n.k, tunajenga meli nyingi ziwani na baharini, tumejenga ferries nyng mno, stands za kutosha nchi nzima, roads ndo usiniambie kila siku mnaona humu, ndege mpya za abiria na mizigo zitaingia soon mtaziona, mabwawa ya umeme co tu JNHP nadhani mnafahamu, vituo vya afya kila kona ngj cku nijitoe ufahamu nipige picha vituo vichache vya afya km 10 ili nikupe direction uelewe namaanisha nn cz hvyo vituo vya afya tulivyojenga kwenu ni hospitali kamili, pia tumejenga hospitali nyingi mno mno yn ukisikia Magu kapita kwa kishindo juwa tunamaanisha, yn development is everywhere nashindwa kuandika hapa nitajaza page, itoshe tu kusema mjipange kushindana na Tz iko level ya peke yake km mnabisha Subiri reports mpya ziwe zinatoka, c mnakumbuka ile ya dollar millionaires? Basi ile ndiyo iwape taswira ni wapi Tz inaelekea [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Vitu mingi mara moja kweli umeshindwa kujitetea? Kenya tunajenga expressway mbili, tunapanua port ya mombasa iwe ya pili bara afrika, tunajenga bara bara upande zote ya kenya, bado tumemamaliza commuter rail kwa muda unaofaa. Bado tuko karibu kumaliza cycling na pedestrian lanes kwa miji yote tatu ya Nairobi, mombasa na kisumu, tunajenga mji nzima kutoka kwa ground(Konza), tunasambaza stima sahi imefikia 85% ya wakenya, Hospitali 24 zimepanuliwa kwa kila pembe ya taifa, na zingine 24 zinajengwa sahi kwa slums, tuko na mabwawa 6 tunajenga na ziko karibu kukamilika tunavyozungumza.
Nyinyi ni rufiji, sgr na kibaha highway ambazo zimekwama kazi ya GOT sasa ni kujisifu vile imebana matumizi ilhali kubana matumizi hufanywa wakati uchumi iko taabani, na watanzania kwa ujinga mnashangilia.
Mbona hawaonyeshi bridge la SGR likibomolewa?Mzee hatutanii bali tuko serious, msidhani eti ni km300 tu za Dar -Moro hapana bali ni zaidi ya km2500, hii hapa chini progress ya last month km sikosei, ni from Morogoro to Dodoma na nadhani kwa ss watakuwa mbali zaidi [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
Hiyo ni moro-dodoma mzee co Dar -moro hyo usichanganye habari mkuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mbona hawaonyeshi bridge la SGR likibomolewa?